Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

bongo yote ni ya serikali na taasisi zake (inclusive economy) huko kwingine sasa[emoji40][emoji23].. afu ukiwaambia ukweli wanakasirika
Hta super power zote serekali haifanyi biashara za kipumbavu km za bongo land
 
wakenya wanavituko sana
Sasa wewe pia unashangilia huyo kilaza mwenzako anayesema GTC iko tu na majengo mawili above 30 floors? GTC has six towers, na ni moja tu ndio iko chini ya 30 floors. Mengine yote yako above 30 floors

 
muoneni huyu jamaa alivokua muongo GTC only two towers are over 30 and the rest are below 30 na ukibisha niambie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Superpower ipi ambayo serikali haifanyi biashara?, China ambayo inaongoza duniani kwa kutoa mikopo serikali yake ndiyo inayoongoza kwa kufanya biashara
China ako na man power hana wazembe km nyie[emoji1787][emoji1787]
Nitajie nchi tano za kijamaa uje tuzilinganishe na za kibepari... tuanzie afrika, alafu usitudangange china wawekezaji wapo na wanafanya yao
 
Hyo achana nae, km luku tu ameshindwa kupiga itakuja masuala km hya
 
Above 30 floors in Nairobi are as follows:
1. GTC Office Tower - 43 floors
2. GTC Hotel Tower - 35 floors
3. Prism Tower - 34 floors
4. GTC Residential Tower1 - 33 floors
5. Times Tower - 33 floors
6. UAP Tower - 33 floors
7. GTC Residential Tower2 - 31 floors
8. GTC Residential Tower3 - 31 floors
9. Britam Tower - 31 floors
10. CBK Pension House 30 floors

Number ya Nairobi mtasoma hadi kiama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…