Leasing aircrafts....ndege za wanaume nyie endeleeni ku make loss alaf muone kama mtabaki nazo😀😀😀😀😀this is kenya airways
Dictator wetu wakipekee duniani. Tunampenda sana kuliko kitu chochote. Msi fforce tufanane.Mtu wakufunga wanao muita dictator kweli ni dictator.
Dunia nzima ilishamgundua Magufuli, isipokuwa Tanzania.
Broo ur neither civilized nor rich...go back to school learn how to lie urself againIt takes a civilized country to start addressing freedoms. Nyinyi ata constitution mlishindwa kupitisha.
Na usijifanye Tanzania hakuna maskini. Kenya GDP per capita - $1400, Tanzania - $800.
Kenya kuna many feet on the ground, many international organizations, lots of government mobilization, na ndio maana issue kama ya kiangazi hureportiwa sana.
Tanzania is still a dark country information-wise, lakini huwezi tudanganya kwamba nchi ambayo ni maskini kutuliko haina njaa.
Nyingine tatu CS300 mbili na Boeing 787-8 Dreamliner zinaingia January on Cash. Tuliza rohoHio peleka forum ya Fly 540 mkabishane huko.
Mkuu Tanzania pekeyake duniani ndo ina Lions wanaopanda miti(trees) Show me any in Kenya.Lions wa Tanzania wanaongea ama? how are they different
Ok, so show me the flaming sword and the cherubim that was sent to guard that garden?The Eden Garden was in Tanzania
The only seen and proven Garden to date is in Tanzania, where even the remains of the first human was found. It is the only place where you can see the true story of the beginning of human beings.
The Biblical Garden of Eden in Tanzania, Africa