Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That's why he managed to make Tanzania to be food busket for east, Central and Southern Africa, without Tanzania Kenyans starve to death.
 
That's why he managed to make Tanzania to be food busket for east, Central and Southern Africa, without Tanzania Kenyans starve to death.
Wacha kunlilia hapa, tangu lini papai likawa na Covid, acheni uboya saa ingine! 🤣 🤣 🤣
 
Hahahaha, tangulini mkenya akaweza kuishi bila kuitegemea Tanzania kwa chakula na raw materials?[emoji23][emoji23][emoji23]
KDF TO AIRLIFT RELIEF TO TANZANIA AFTER QUAKE DISASTER

Kenya will donate iron sheets, blankets and mattresses to Tanzania in disaster assistance following the deadly earthquake on Saturday.

MY TAKE - vipi hapa, raw materials zilikuwa zimepotea ama???
 
Mlijikomba ili tuendelee kuwapa chakula na raw materials, hata hatukutumia hizo vifaa vyenu ni "low quality"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mlijikomba ili tuendelee kuwapa chakula na raw materials, hata hatukutumia hizo vifaa vyenu ni "low quality"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuliwaokoa hatukuwaokoa? 😂 😂 😂 Najua hutaki kukubali, wacha nikuache ila ndo facts hizo sasa, sio hekaya za abunwasi
 
unaakili za mavi ya mbuzi,majanga yanapotokea kama community kusaidiana ni vitu vya kawaida pia haimaanishi kwamba tulishindwa kusolve na hatukuomba mtu msaada na si nyie pekee mlioleta wapo uganda,burundi n.k,, hivyo hata nyie mkipatwa huwa mnapata misaada ni vitu normal
 
Sasa si nyie ndo mnaosema mna raw materials ka zote hadi kutuuzia, sasa hapo ndio nilitaka kuziona hizo bidhaa za ndani zikitumika kikamilifu. Mnaleta ujuaji tu na hamna lolote!
 
Ameona hana eneo la kutokea ndio sababu anatapatapa[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…