Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kunyata katangazia ulimwengu kwamba wana baa la njaa sababu yupo hoi, uchumi upo kaburini mpaka wameenda kuomba msaada wa chakula Zambia sa sijui wanapitisha wapi [emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787]wapi gidipiii ya kibera
Gidipii majalala mafiii ya bata
 
We fala huo mchoro unaongea so do not accrue ur fucki.ng words, free float iko wazi inatawaliwa na foreigners na ndiyo hyo hapo yenye rangi ya zambarau, locals rangi nyekundu inaonekana hapo kwenye kaeneo kadogo, kwnn unakuwa mjinga namna hiyo? Wewe huo mchoro uliuruka purposely co kwasababu hukujua, but now kwenye huo huo mchoro unaokuaibisha unaweka maneno ya kujifariji wacha uchoko wewe.

Unadhani mkenya anaweza kumiliki hisa nyingi kwenye foreign company km Safaricom? Angalia hapa na wameonesha kabisa kwa maneno mbwa wewe [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
 
You are more stupid than I thought πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, the red part represent local individuals and the yellow -green part represent local Corporate. Ukiunganisha the red part and yellow - green part you will get a share bigger than the purple and orange part. Ujinga will kill you my friend πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚

 
Sasa mkenya agunduwe nini zaidi ya fly toilets
 
Na hizi hapa ndio shares zenyewe, nimecheka sana [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Do you know the meaning of free float mana nisijichoshe nataka kulala kesho niwahi job, wewe huna kazi so huna unachopoteza.
Free float is an open opportunity, anybody can acquire it. Najua you didn't know that πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Free float is an open opportunity, anybody can acquire it. Najua you didn't know that [emoji1787][emoji23][emoji23]
Sasa rudi hapa kwenye huu mchoro usiende Google tumalizane hapa hapa, nani mwenye hisa nyingi kati ya mkenya na vodafone [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa rudi hapa kwenye huu mchoro usiende Google tumalizane hapa hapa, nani mwenye hisa nyingi kati ya mkenya na vodafone [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1931226
Kenya has more shares. GOK 35%, locals 15%. Vodafone only have 5% shares in Safaricom. I'm sure hata huelewi picha zenye unapost hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Kenya has more shares. GOK 35%, locals 15%. Vodafone only have 5% shares in Safaricom [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mtu hajui elimu ya maumbo, nimepiga mstari ili kumuelewesha uyu kima, hapo bado sijaongelea hyo local corporate ambapo kuna wakina Ruto na Kenyatta humo ndani wamegawana nusu kwa nusu wakati huo huo sio zao hizo shares wamewashikia wazungu. Alafu kuna mbwa humu wanajiuliza kwnn nchi yao ni fukara inayoomba msaada wa chakula karne ya 21 [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…