Mbona huwa mnaogopa ukweli? Kwanza zenye ziko inactive Ni ndege sabaπππππAcha ufala basi ..unaongea uongo mtupu...uwe unatumia akili ku research vitu kabla hujaropoka nakutumia ndege zote niambie ipi haijatembea View attachment 1919493View attachment 1919494View attachment 1919495View attachment 1919496View attachment 1919497View attachment 1919498View attachment 1919499
Inaonekana hata hujui maana ya electricity connectivity πππConnection without stima[emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo serikali inajikodisha auNa hizo hasara za karibu bil.500 kwako unaona sawa? Kwanza inashangaza kuona ATcl kampuni ya serikali haina ndege eti inakodi Serikalini.
Correction please. Mombasa station is better than the toilets-like stations in Tanzania πππMombasa station looks like a chinese mausoleum
They are still buying more, our export to Uganda hasn't reduced so sijui unaongelea nini.Uganda was buying more from Kenya than from Tanzania, isn't?[emoji23][emoji23]
Yani Tanzania kila kitu ni ya mhindiπππ.
Lakini shirika lingine linakodi ndege ambazo si zake kwahela nyingi kupita hela halisi ya manunuzi hapo nani kaumia?Ni shirika Gani linalonunua Ndege kwa Fedha za serikali? Jibu Hilo utaelewa ni shirika Gani linawafyonza wananchi.[emoji23]
Unababaika na makaratasi hayo nchi yoyote ya Africa inaweza kuamka kesho na kusema GDP imeongezeka maradufu tumeona Nigeria na kwingineko kwahiyo uchumi wa makaratasi sio ajabu.[emoji38][emoji38][emoji38] kama unadai kenya hakuna chochote, mbona basi tunawazidi gdp Γ2, na sisi ni 3rd kanda wa sub saharan.??....... aah?.. jibu
uchumi wa kenya ni mpana sana yani diverse sana.. hatutegemei kitu kimoja msela. Service Sector incdg (Tourism, Banking and Finance, Telecommunication, Real Estate, Ports and Maritime, Aviation and Airtravel, Construction Industry, iTech and Innovation, Commerce, Human Resource, etc.) ina contribute 62% ya uchumi wetu, Agriculture ina contribute 24%, Manufacturing and Industries ina contribute 19%.
alafu eti in tz, Agriculture ina contribute 55%, na Uganda Agriculture ni 70%.
yani tz and ug, a real characteristics of a 3rd world, least developed economies, poleni
correction.., the most developed area in the whole of Dar is slum., a section of the whole sq km, and Tanzania kwa ujumla, yaani10%.., π π π πThe only developed area in EAView attachment 1919256
gdp is only watched and regulated by IMF and World Bank my brother. hauwezi set exam, kisha ujisahihishie jameniUnababaika na makaratasi hayo nchi yoyote ya Africa inaweza kuamka kesho na kusema GDP imeongezeka maradufu tumeona Nigeria na kwingineko kwahiyo uchumi wa makaratasi sio ajabu.
Unatetea ujinga, acha nikuambie kitu GDP yetu imefanya.Unababaika na makaratasi hayo nchi yoyote ya Africa inaweza kuamka kesho na kusema GDP imeongezeka maradufu tumeona Nigeria na kwingineko kwahiyo uchumi wa makaratasi sio ajabu.
Yani Tanzania kila kitu ni ya mhindiπππ.
Hehehe I have hit the nerveπππ, are you aware that all big companies in Tanzania are either owned by Indian, white or Kenyan? πππ Are you aware that top ten richest people in Tanzania are Indians?πππ Are you aware that Indians control your transport sector?Ficha upumbavu wako wewe kanjini wa marakwet