Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We jamaa sijui huwa unakula mavi.? 😂😂 Unaumia sana eeh.? Nyie kwetu ni watoto wa dogo sana, mlipigaga kelele mingi kuiaminisha uongo dunia,
 
Nimeanza kuona utofauti kati ya kambi hiz za mchina na zile za mturuki.

hiv hizo nyumba huwa wanazifanyia nin wakimaliza mradi?
ningependa wawe wanaziproject kuzijenga kama mfumo wa shule na kuzijenga maeneo rafiki ili wanapomaliza mradi wanazifanya ziwe shule au zahanani, thou some modifications/devolution may take place
 
😂😂😂 Kwani ukisema ukweli utakufa.? Hiyo Dam ya $800m mbona tusiione.? Iko wapi.? Au unazungumzia future.? 😂😂.. unapiga kelele za irrigation na wakati sisi ndio tunawauzia chakula unaakili kweli.? Hiv unajua kukamilika kwa JNHP ni irrigation kiasi gani itafanyika since JNHP is the largest Dam in EA & 4th in Africa.? Tanzanians tunazungumza tunavyofinya now wew unazungumzia future? Wew ni mpumbavu
 
Pumbavu wewe hakuna nchi hapa EA ina shida ya umeme kama Kunyaland, umeme huwa unakatika mpk Ikulu unasema nn wewe.
Tanzania should not lecture Kenya on anything dealing with electricity. We are thousand years ahead of you.
Watu milioni 50 mmejitosheleza na 2000mw ??
Do you even hear yourself?
Yeah, that's why our connectivity rate is 70% against 37% ya Tanzania.
 
😂😂😂 Na ndio mana kandarasi zenu mbovu, kila kukicha mijumba mibovu inaanguka 😂😂 hiy 80% ya elimu mnatumia kufanyia nini.?
We are using it to colonize Tanzania, are you aware that economy ya Tanzania imeshikwa na wakenya😂😂
 
Tanzania should not lecture Kenya on anything dealing with electricity. We are thousand years ahead of you.

Yeah, that's why our connectivity rate is 70% against 37% ya Tanzania.
hii kamasi imerudi ulingoni[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…