Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

it’s houses for me built over there [emoji4]
Kama mbele aisee, ila Tz mwaka huu baridi imekaa mda kweli, hata Dar kama Dar hii hali tunayo mda sasa, upepo mkali baridi mtindo mmoja, aaahh hatujazoea bhn hali hii.
 
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Noma sana. Capitalists, Educated, Aggressive, Rich, Wealthier. Mbona hamna hata chembe ya conection [emoji1787]

Watu gani matajiri wachafu
Watu gani wameelimika hata wanashindwa kuzoa
Capitalist gani hata fursa ya kuzoa taka na kuoiga hela haoni, kurecycle hiyo miuchafu ni hela tupu.
Agressive kwenye nini ambacho wameoiga hatua kuliko wote hapa Africa mbona kila eneo tunaoumuliana visogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Rich?
Mhhh, Noma sana.
 
Hakuna nchi chafu duniani kama Kenya, it's supposed to be a number one dertiest country on planet Earth.View attachment 1893591

Angetokea hata mjasiriamali akaweka pavement hapo akacharge hata parking fee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Jiji halina maji lakini pabichi kila siku [emoji1787]
 
Shida ya wabongo ni kiingereza. Please, soma post yangu uielewa ama uniambie nikutafsirie kwa Kiswahili. Ni wabongo wenzako waliosema Tanzania ina more penetration juu ya views za Diamond. Na naona mibaba mizima kama akina Bantugbro ikilike huo upuzi wako. SMH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…