The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Dec tukutane likoni tubadilishane mawili matatu swahiba π€ͺUkitaka kujua jinsia yangu chukua usafiri uje mombasa..
Km una umuhimu kweli lkn, ukifika tu nakutumia mtu anakuleta mpma home..
Hapo jinsia sasa utakuja kuijua na kuichambua kw ufasaha
Yaani lile Jiji ni tatizo,the whole Temeke DC ni uswazi tupu.KekoππππππView attachment 1881291View attachment 1881292
Mtanzania anaejitambua ashasema dar ni maviπππYaani lile Jiji ni tatizo,the whole Temeke DC ni uswazi tupu.
Sijawahi elewa viongozi Wana entertain vipi Hali kama hii
Panya kateseka leo, ni vijimaneno tu amebaki nazo, maumivu ni mengiππππππ
Huu ukweli ni maradhi kwa The best 007.., jama hapendi kusikia haya kuhusu DarππYaani lile Jiji ni tatizo,the whole Temeke DC ni uswazi tupu.
Sijawahi elewa viongozi Wana entertain vipi Hali kama hii