Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuoneshe hizo station 10.
 

These are silly narratives driven by Kikwete and the gang from CCM.

Majory have zero business with these "vaccines" poisons.
 
Several companies that all struggling? What's the point? Safaricom monopolized because it's just too good. Their services are excellent. Mark you, Safaricom is more expensive than all the other service providers in Kenya but they still just can't compete. In your case, all your providers are strugglers. Remember Safaricom has more subscribers than all your providers combined yet we also have Airtel, Telecom and Equitel.
 
Uchumi ambao hauwezi ku implement even a single small project using internal resources ni uchumi wa makaratasi.
Bongolalas kawaida yenu maneno mengi bila facts.....unajua ni km ngapi za barabara zinajengwa sasa hivi na serikali kuu na zile za county???nyinyi mna mradi size ya lamu port??unajua mombasa na kisumu ports zina undergo expansion?mna mradi wowote kama konza city??unajua sasa hivi dams zaidi ya 5 zipo under construction kenya?? unajua kuna airport mpya inajengwa kule nakuru(jkia,mia na malindi airport pia zina undergo expansion)?? unajua zaidi ya km 500 ya mgr inakua refurbished? n.k, n.k, n.k ....licha ya haya yote bado zaidi ya $3.5b zingaiwa serikali za county ambazo some of the money zinatumika kwa maendeleo..just because hatuoneshi haimanishi mna miradi nyingi kutushinda. trust me tunatenga fedha nyingi kwenye maendeleo kuwashinda and that's a fact
 
Kwa fedha za mikopo sio? Wewe Mkunya unajua kuna Lake and sea ports ngapi zinajengwa na kupanuliwa kama Tanga, Mtwara, Kigoma na Karema ports kwa fedha za ndani? 🤣 🤣 🤣

 
Kwa fedha za mikopo sio? Wewe Mkunya unajua kuna Lake and sea ports ngapi zinajengwa na kupanuliwa kama Tanga, Mtwara, Kigoma na Karema ports kwa fedha za ndani? 🤣 🤣 🤣

Miradi mingi ni kwa pesa za ndani mzee, hatusemi kama nyie, nyinyi mnajua tu akina SGR na expressway, Lamu port imejengwaq na pesa ya nani? mchina ama mzungu? ata kama ingekua mkopo, pesa ni ya kenya kwa vile sio msaada., Kenya sio size yenyu., you don't have the magnitude of programs and projects to the local levels as Kenya's., mnajua tu zile zenyu kubwa ambazo CCM wanatumia kama propaganda ili waendelee kuwatawala.., but what Kenya is doing is both macro and micro in equal measures.., the reason local govt budget is huge, education is by far bigger than any of your sector,., kuna programs running., Tanzania mko level moja na Mozambique, Rwanda na Malawi, bado mnajenga miundo mbinu, u still don't have muscles to run other sectors sufficiently.., revenue ni kidogo, budget ni ndogo ilhali revenue is not even half of it!!., mko ovyo sana,..,
 
Kwa fedha za mikopo sio? Wewe Mkunya unajua kuna Lake and sea ports ngapi zinajengwa na kupanuliwa kama Tanga, Mtwara, Kigoma na Karema ports kwa fedha za ndani? 🤣 🤣 🤣

Kalongolongo republic, Sasa what's mtwara and Tanga ports in comparison to Lamu?😂🤣🤣
 
Please let's us not forget that lamu Port will be receiving ships from Tanzanian ports for cargo transhipment 😂😂🤣.


Progress of berth 2 and 3, completion set for October.















 

MUHAS, SUA, NIMR link up to develop Covid-19 jab​

ippmedia.com/en/news/muhas-sua-nimr-link-develop-covid-19-jab-

August 5, 2021
05Aug 2021
Correspondent
Morogoro
News

The Guardian

MUHAS, SUA, NIMR link up to develop Covid-19 jab

THE Sokoine University of Agriculture (SUA), Muhimbili University of Health and Allied Science (MUHAS) and the National Institute of Medical Research (NIMR) have joined forces to develop a Covid-19 vaccine.




SUA Vice Chancellor Prof Raphael Chibunda.

Speaking during the launch of a vaccination drive at the institution yesterday, SUA Vice Chancellor Prof Raphael Chibunda said the tripartite efforts are meant to end dependency on jabs from abroad.

Tanzania launched its national inoculation campaign a week ago after receiving the first batch of over one million doses of the Johnson & Johnson vaccine donated by the United States through the World Health Organization's Covax facility.

Prof Chibunda said the home-grown initiative which is in exploratory stages is meant to see Tanzania producing enough Covid-19 vaccines instead of relying on donations from other countries.

He said as for now, all vaccines that are being administered have been imported, but as the country’s intellectuals, and in their positions in the mentioned universities, have seen the need to embark on research to satisfy the country’s need for vaccines for Covid-19.

Following the delivery of vaccines to Morogoro Region, SUA submitted a request for establishing a vaccination centre there due to the big number of students – over 15,000 including 2,000 employees and academic staff members, many of whom are of advanced age.

He thanked the office of the Regional Commissioner and the Regional Medical Office for accepting the request, allocating them 500 doses that would be administered to people in the special priority groups.

Prof Chibunda said he believes the small number of doses allocated will be increased as days go by, urging the university community to disregard what was being circulated in the social media.

Dr Omary Kasuwi, heart diseases specialist and doctor in charge at SUA, thanked the government for the allocated doses as this will reduce challenges faced by members of SUA community seeking treatment at the hospital.
 
Mnavyopenda sifa za kijnga muwe na miradi mingi halafu msipost hapa! Acha utani kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…