Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii taarifa imekosewa tarehe hizo vihenge zilishajengwa na zilikamilika mwaka uliopita na mwaka huu zinaanza Kazi ya kuhifadhi nafaka
 
Wanao toa hayo maoni sidhani kama ni wachumi,Tzn inahitaji mikopo zaidi ilimradi tuu ni mikopo ya kujenga miundombinu ya uchumi kujikwamua kuliko kutegemea vikodi vya hovyo ambavyo vinapelekea uchumi kuwa na nature ya contractionary.

Lazima serikali iongeze ukwasi kwenye uchumi kwa njia ya kukopa na ku relax baadhi ya sera za kujibana.Juzi BoT wamelegeza masharti ya sera za fedha.
 
Renders can only be posted na wenye wako nazo, I don't expect you to post any render from Dar juu najua hakuna any🤣🤣🤣
Acha hasira kwani nikisifia render kuna ubaya gani 😃😃😃😆
 
Acha hasira kwani nikisifia render kuna ubaya gani 😃😃😃😆
Mkiambiwa ukweli mnasema ni hasira😂😂🤣, kama nadanganya ebu nionyeshe any render ya active tall building from Dar tuone 🤣🤣
 
wacha kurudia ulifika namba airbridge 14! sasa leta 13 mpaka 1! Maana jana ulipofika air bridge 13 uka-post air bridge namba 15!
Other terminals have different numbers, while others are numbered at all,, the ones that I was posting earlier we're from terminal 1A.

Number A6

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…