Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The same way Zuku lost in Tz,
By the way, wakati unajibaraguza kwenye keyboard , wenzako washakuja chumbani already.
 
Dude you are so behind, those stats are outdated you should keep up with the current updates bro
 
Dude you are so behind, those stats are outdated you should keep up with the current updates bro
huna link ya kenya airways kununua ndege cashπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
umehangaika google lakini wapi hakuna kitu umebakia kuona ndege za kulease
pole sana ndugu
huo ndio ukweli 27% klm hao ndio wanaume waliowakodishia ndege zao
 
Jamani kuhusiana ma Dstv
Azam hataruhusiwa kurusha mechi za EPL hadi 2022 huko kama akishinda tenda
Kwa sasa itabidi tu tukubali dstv
 
Jamani kuhusiana ma Dstv
Azam hataruhusiwa kurusha mechi za EPL hadi 2022 huko kama akishinda tenda
Kwa sasa itabidi tu tukubali dstv
dstv hawezi akakubali EPL ionyeshwe na kampuni nyingine....hiyo ndio pumzi yake kwa sasa.

atapambana kufa kupona ili EPL ibaki kwao maana akinyang'anywa ndio utakuwa mwisho wa upuuzi unaofahamikaka kama dstv east africa.
 
Kama hamtaki tutauza Uganda, S. Sudan, Rwanda, Burundi, Congo, Zambia, Malawi, Mozambique, Somalia, Ethiopia etc. Kwani lazima nyie bana.

View attachment 546514
It's about marketing strategy man. Kenyans would go for content, what is the marketing strategy that Azam should use to lure Kenyans... If nothing unique it would be hard to penetrate the kenyan market, sio ati kenya imekataa, besides that's personal choice so if they want it they buy it.
 
mbona gas na azam wheat mulikataaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hongereni kwa ndege zenyu kusafiri nchi mbalimbali duniani....vp issue ya salary kwa wafanyakazi,ilishakuwa sorted?... just asking tho.
Bro you have to know that as of now, KQ has started making profits based on the 1st phase of the financial year.
You should also Note that KQ no longer has DEBT if you are someone who is updated
All the Debt was converted to equity/shares recently as agreed by all kenyan banks which KQ owed money therefore kenyan banks are the largest KQ shareholders as of now.
 
Okay basi tumekusikia. Na nimekueleza TZ wala haijihusishi na nyie. Soko la kenya ni by the way tu.
 
Why has SPORTSPESA been so successfulin Tanzania given that its barely half a year old
 
Why has SPORTSPESA been so successfulin Tanzania given that its barely half a year old
Na hq wanataka kuhamisha walete bongo
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Okay basi tumekusikia. Na nimekueleza TZ wala haijihusishi na nyie. Soko la kenya ni by the way tu.
That's not how to operate business. Giving up... Kama vile nimeona already Azam iko na offices nairobi, let's hope ita succeed
 
You wonder why they are an LDC country. ...just next to the overrated kigamboni bridge....Lol. Halafu you have the guts to post over here


SMH. ...!!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
wacha tuone anatoka tundu gani leoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
ndege za kulease anatuambia wamenunua
kampuni ina run loss almost 4 yrs now haina nafuu

Ndugu. Kutembea mingi au kusoma kwingi ni kuona mengi.
Asilimia ya leased aircraft in the world imepanda kutoka 15% 30 years ago, to 40% leo.
Airline zote kubwa na ndogo zimegundua kwamba leasing ni more economical than buying. Ata airline za US most of their aircraft ni leased.
Lakini Magufuli ndivo ampatie 'false patriotism' alienda akatumia mabilioni kununua ndege mbili. I can tell you with 100% certainty, hio ATCL yenu itatangaza hasara sooner or later. Mnafanya the same mistakes Kenya Airways ilifanya.
Tofauti ni kwamba KQ ishagundua na sasa hivi ndege zao wanalease.

Na by the way, kulease pia ni gharama. Usidhani ATCL na KQ zinatoshana. Ata Fly 540 yetu iko juu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…