Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona hata nchi ambayo P Square wa nataka kuamia EA ni Tanzania kutokana na sheria wanaotaka kuweka serikali ya Nigeria
 
Kusema ukweli most of these big hotels huweka food kwa fridge even for months...naprefer mama nitilie to those five four stars
Acha kujitete kuweka food kwenye fridge ni lazma bcoz chakula hakuna sasa😀😀😀😀😀
 
angalau mmethubutu kuleta picha ya digisuper ikiwa katika mazingira halisi ya kikenya licha ya kwamba mlikuwa mnatoa kauli za kejeli za kudai ni technology ya kizamani wakati sio kweli.

ila imewachukua takribani miezi mitatu tangu nilipoanza kuwadai picha za digisuper.

kwa taarifa nilizopata toka kwa "beshte" yangu ambaye anafanya kazi kwenye tv station moja hapo Nairobi, ni kwamba digisuper iliyotumika katika IAAF 2017,sio mali ya KBC,KBC ime-hire toka kwa kampuni moja nje ya kenya.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

azam tv's digisuper and advanced outside broadcasting facilities.
in LDC
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
katika kila kundi la vijana 10 wenye umri wa kuajiriwa nchini kenya,wanne kati yao hawana ajira.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Wambie kaka pia hata sisi tumechoka kuwahadithia hapa kila siku
 
Aza
Azam anashindana na DSTV. Nilifika Uganda na Rwanda kilakona ni azam TV. Najua kuwa yeye ni HD pekeyake EA. Kwa sasa amepata league ya Spain amesha anza mazungumzo na league ya England aondoe kabisa DSTV Africa
 
DSM
 

Attachments

  • Insta-image-19.jpg
    138.1 KB · Views: 52
  • Insta-image-11.jpg
    133.7 KB · Views: 55
  • Insta-image-13.jpg
    113.8 KB · Views: 54
  • Insta-image-15.jpg
    126.1 KB · Views: 50
  • Insta-image-26.jpg
    107.7 KB · Views: 55
  • Insta-image-16.jpg
    107.5 KB · Views: 48
Mambo ya bridges msiseme kabisa nyie ndugu zetu. Nchini kwetu madaraja yamejaa nchi nzima. Kila kona kuna madaraja. Kumbukeni Tanzania inamito mingi, maziwa mengi kwahiyo kama mnataka muanze kujifungia leo nitaanza kuwapiga kwa madaraja. Na vitu made in Tanzania. Poleni sana ndugu zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…