Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anyways yote Tisa ..kumi ..ningekua Mkenya ..Hapa ningepigana hata na rais ...[emoji23][emoji23][emoji23]

 


your second city is known nowhere beyond Tanzania
 
Wa kenya ni wanafanya maendeleo Nairobi tu ..kwingine maendeleo ni kidogo sana
danganya toto. huo ulikuwa wakati wa Moi wa Centralized Gov't. saa hii tuna katiba mpya na mfumo ni wa County Gov't. kila kona ya nchi inajengwa
 
yaani hawatogusa maana hizo fly over zao za ajabu yaani vitu siyo fly over wanaita fly over asa sisi tuna wadouble
 
powa endelea kulaaniwa au nenda ukaishi kenya.....

sijui unafanya nini hapa tanzania hadi mda huu[emoji31] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…