Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mark the main words in this report TANZANIA POOR COUNTRY KENYA LOW MIDDLE INCOME end of story... and this a report from the same organisation that said tanzania has millionaires so if it lied tanzania being poor the we can also say it lied tanzania having many millionaires.. so choose your words wisely
 
Sikieni hii andazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mm au wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenye tarura not applicable figure ziko wapi?? Au barabara za over 4000km zimevunjwa
Ndo alijipiga kidole hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na tanzania ilipoingia middle income ikawaje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
How biased is this tabloid!!!?
BTW when was it published!!?
So when knight frank says tanzania has many millionaires in east africa mnashangilia but when the same knight frank says tanzania is ranked by world bank as a poor country you up in arms hehe bro be realistic sometimes
 
Anaondoa stress za bullet train [emoji23][emoji23][emoji23]
Hataki hata kuzisikia habari hizo, kuna mbwa mwingine kule juu anajiita cjui Capt. Richie tayari ameshakubali kuhusu public transport na SGR [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naona ushakubali hata kama hutaki kusema[emoji1787][emoji23][emoji23].
Vipi ile report ya millionaires ya 2018 hupost tena [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
JNIA is a white elephant. Yani with all the noise being made here daily kumbe inahandle only 1M passengers πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 1862624
Please huku kwenye aviation naomba unyamaze maana ntakupasua vibaya sana this is my football pitch!!!Kwanza hizo figure haziko sahihi there are wrong take it from me. Elewa mmefanya vibaya sana mwaka jana na katikati ya mwaka huu imagine KQ route tu ya Dar-Nairobi ambayo ilikuwa moja ya tegemeo lenu kwny biashara mmekata route from 14 kwa wiki mpaka 4 maana yake ni negative 10 bado sijagusa route nyingine to and from JKIA..mko hoi. Takwimu halisi za Jomo Kenyatta International Airport za abiria haziwezi kuwekwa hadharani maana ni aibu kubwa,Tofauti ya Traffic JNIA ni ndogo sana mwaka jana na miaka ya nyuma na imekuwa boosted zaidi na Domestic flights ATCL amefanya vizuri sana na anaendelea kufanya vizuri!!!Shut up fool!!! kabla sijatoka nje ya misingi ya kazi yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…