Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Peleka ujinga wako mbali πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 1862702
Kuna tanroad na tarura
Kazi ya tanroad ina deal na highways au bara barabara kubwa zinazounganisha mikoa

Na tarura ina deal na barabara zote za mijini wilayani pamoja na vijijini sasa ww utanifundisha nn πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mm au wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwenye tarura not applicable figure ziko wapi?? Au barabara za over 4000km zimevunjwa
Wewe ndiye mjinga juu unapingana na data ya serikali yakoπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…