Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa renders tu mnatisha ila uhalisia sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kwnn msijifuze kutoka Tz? Sisi tunaheshimu renders na ndiyo maana utakuta kilicho kwenye render ndicho kitakacho tokea ground [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
🤣 🤣🤣 Yah!! Hawa wanakiwa kimasihala tu. Ukiwa serious unamkosa.
Mademu kama hawa mwanzoni usimuonyeshe attention kubwa na kubabaika,hivyo vitu kwao ni kawaida,unakuwa in and off,unajali kama hujali pia vile!!onyesha levo nzuri ya maturity,toka vizuri,nukia unyunyu wa maana😀, don't talk too much sikiliza zaidi... Know how to connect her story and your stories, kikubwa kabisa wanawake wanapenda kucheka...mchekeshe!!!Kuna vi-little jokes flani hiv amazing sana 😂Na mkiachana baada ya makutano,usimtafute tafute hovyo au tutiririsha mamsg.Mtafute kwa kuonyesha kujali kama amefika salama full stop.😂😂😂.Subiri matokeo akivua chupi kamua vyema.WAKUDAMSH.
 
Kwahiyo umeridhika kabisa kuwa mtumwa? We mzima kweli au uko tungi mashinani kibera?
Upende usipende wewe Ni mtumwa wa wazungu, that's why you are still worshipping their good and attending schools teaching their curriculum. Kama hutaki kuwa mtumwa basi acha kutumia vyombo vyao kusafiri, acha kutumia nguo zao, acha kuvaa viatu vyao, usijinyoe cause utatumia mashine zao, acha kuenda hospitali cause you will be treated using their medicine. To make things short, everything you are using ni za wasungu and that's why I'm telling you that you will remain their slave till your death.
 
Ukisha kula sepa. Usimtafute tafute.
 
We dada bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…