Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

looking at the view and real life of kibera slums by using latest photos/screenshots from Instagram.

NB: i have noticed something very strange while i was searching for photos in instagram

most kenyans especially those in social media, avoid to share photos that might show the poverty and poor living standard of kibera.

majority of the photos are uploaded/shared by some white folks who run NGOs or do community work within the slums.
 
Ukiskia maisha ya kuzimu ndio haya😀😀😀
Yani kuna watu wanashindikiza maisha sio kuishi
 
yaani hizo chemba mpaka nimejihisi kutapika aiseeee.......daaah ni kinyaa sana huko kenya uchafu ......vitu vimeoza yaani makazi wanayoishi ni zaidi ya dampo....[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
looking at the view and real life of kibera slums by using latest photos/screenshots from Instagram.

NB: i have noticed something very strange while i was searching for photos in instagram

most kenyans especially those in social media, avoid to share photos that might show the poverty and poor living standard of kibera.

majority of the photos are uploaded/shared by some white folks who run NGOs or do community work within the slums.
 
yaani hizo chemba mpaka nimejihisi kutapika aiseeee.......daaah ni kinyaa sana huko kenya uchafu ......vitu vimeoza yaani makazi wanayoishi ni zaidi ya dampo....[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
wakenya wanapenda kuishi maisha fake,maisha ya kuigiza,maisha ya uongo wakati hali halisi siyo hivyo kama wanavyo jinasibu kwenye mitandao hasa hapa JF.

wazungu wanaoendesha NGO kwenye slums,hawataki unafiki.kwenye account zao za Instagram, wanaweka picha zinazoonyesha maisha halisi ya wakenya.

kwangu huu ni mwanzo tu,kesho inshallah nikipata mda, nitapitia tena instagram,kutafuta picha latest zinaonyesha muonekano wa slums na maisha halisi ya watu masikini wa nairobi.

wao pia kama wanaweza kupata picha za namna hiyo kwa dar es salaam,wawe huru kuzileta hapa.
 
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
see your life
this ain't my life bro.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…