Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

my bad,meant tumewazidi na 8 cents,
thanks for the correction
Umejifunza nini sasa hapo? Kwamba japan mnawazidi kwa kitu gani sasa kwenye uchumi?
 
Sasa hizo comparison wapi na wapi. Kenya mwaka mzima Tanzania Nusu mwaka. Au unataka kujifurahisha?
July to April ni miezi mingapi? Au Mbona mwaka haujafika hala wewe unaleta inforation za kenya mwaka mzima au akili zipo tenge kidogo?
ati nusu mwaka...keep in mind that is just safaricom
despite tanzania having 30% higher population.
 
Sasa hizo comparison wapi na wapi. Kenya mwaka mzima Tanzania Nusu mwaka. Au unataka kujifurahisha?
July to April ni miezi mingapi? Au Mbona mwaka haujafika hala wewe unaleta inforation za kenya mwaka mzima au akili zipo tenge kidogo?
Why don't you quit yapping and show us proof that Tanzania transacts more mobile money than kenya if at all you support that claim.
 
Sasa hizo comparison wapi na wapi. Kenya mwaka mzima Tanzania Nusu mwaka. Au unataka kujifurahisha?
July to April ni miezi mingapi? Au Mbona mwaka haujafika hala wewe unaleta inforation za kenya mwaka mzima au akili zipo tenge kidogo?
July to April ni 9 months ata muongeze 3 months hamuezi fikia safaricom nusu(excluded equitel, Airtel money and orange money)

sent from iPhone 7
 
Collo mzii mze wa iphone 7 nasubiri link yako ya 70b usd 😀😀😀😀😀 au unaipika niendelee kusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…