Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee mbona unapiga kelele. Dar roads za dual carriage total ni more than 150km Kenya ni 97km. Huoni aibu mwanangu!?
 
Mzee unaanza kujifunza kutongoza watoto wa shule ya upili siyo!?
Nimekuambia ulete map from which point to which, hutaki unaniletea maneno tu.
Umeshindwa kufanya hivi!?
 
Hawa malazy need to be reminded that we are ahead of them. They may be too thick to understand this or they may be blinded by patriotism but they need to know this
..it is too obvious though., we have condemned them to there place.
 
Yani hata hiyo kiingereza rahisi kwenye hiyo screenshot yake haelewi. Alafu mtu anajiita engineer!
 
The Best of Dar is slum CBD πŸ‘‡ ,,. Battle imegeuka, ni Dar CBD vs Weslands.., ka sehemu Nairobi..,



VS
Westlands business District..,
 
Mzee mbona unapiga kelele. Dar roads za dual carriage total ni more than 150km Kenya ni 97km. Huoni aibu mwanangu!?
Fanya hesabu za hizo barabara hapa one by one tuone hiyo 150kms. Story za vijiweni hatuna mda nayo
 
40km total, that's less than Thika road alone that is 54km na sijataja zile zingine 23. I am not underestimating Dar, I am simply saying, it is not on Nairobi's level in terms of dual carriageways. Labda mjaribu Mombasa.
hivi nyie kunguni wakikenya mnaakili kweli...?,,

yaani mpo hapa kizembe mnakomaa kushindana na Dar City jiji la kibabe kwa road distance wakati in reality dar nikubwa kuliko nairobi,hebu acheni uchizi tafuteni shughuli za kufanya mnapoteza mda for nothing.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…