Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwenye viwanda vya Changaa Africa wanaongoza. Ogopa wamefungua kiwanda kingine cha beer Kisumu na beer za EABL hakunaga export. Hawa jamaa nishidaaaaa.. ..mulisaaa wewe sio mtu wa mchezo mchezo comrade....where did you get these pictures?.... kenya nimewavulia kofia aisee..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][/QUOTE]
 
yaani hawa tuwaache tu.....waendelee kubaki na ujinga hii thread tumewapa sana faida.....ingewezekana isingekuwepo ili wasijue vinavyo happen bongo
 
[/QUOTE]
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] sasa huyo mzee wa iphone7 hapo kwenye mapira imekuwaje tena........kumbe zinazowafanyaga mbaya wakenya ni hizo chamukwale[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ila kenya mnaongoza kwa viwanda vya kupika data...hilo hamna mpinzani EA.[emoji23] [emoji23]

data/statistics zenyu nyingi hazi-reflect maisha halisi ya wakenya.[emoji23] [emoji23]
huo ndiyo ukweli hawa majamaa ni maninja wakujicreate kwenye position nzuri...wakati wapo ovyo
 
[/QUOTE]
Heheheheheheheh wazee Wa chang'aa hahahah noma sana aisee .

huwezi kuwa shujaa bila kuwa muhuni
 

Hahahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii hatari haivumiliki.
 
Huyu mkenya anatwambia kuwa hizi gari ziko made in Kenya. Kwa nini hamriziki na kidogo mlicho nacho??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…