Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebana kama nimeona mkenya mmoja kapost restaurant πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ waacheni jamani watakimbia wote sasa
 
Haya haya haya amkeni sasa ile misaada na mikopo ya corona imeanza kufanya kazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
That is just a statement doent have to he a fact cabinet secretaries say anything kujitetea when they have under performed but why are you neglecting this fact?View attachment 1841409
Source by who?? Raila odinga 🀣🀣🀣
Huyu ndio aliewatia ujinga akilini ndio maana hamuna ndoto ya plot wala nyumba mpaka dunia inasmama
 
🀣🀣🀣🀣🀣 waliosema hakuna corona sasa wanataka kuteneza kiwanda hehe enyewe tanzania imechanganyikwa
Umeoma tofaut yetu na nyinyi 🀣🀣🀣 mzungu anawapa mkopo alaf huo huo mkopo mununulie chanjo
 
The source is tanzanian kwani umeskia kujinyonga?View attachment 1841419
Ukipata official source nitag 🀣🀣🀣

huyu sio mm ni waziri wenu balala au humtambui
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] waliosema hakuna corona sasa wanataka kuteneza kiwanda hehe enyewe tanzania imechanganyikwa
Akili yako ndogo ndio maana umeshindwa kuelewa hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…