dayah express mara nyingi husafiri kwenda lodwar mpaka "kakuma" turkana county.Kenya Buses
Dayah Express. Hahahahaha!!
buda vipi mbona unataka kututoa kwenye lengo....?...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kenya Buses
Dayah Express. Hahahahaha!!
😀😀😀 mademu wakibongo wewe huwawezi
dayah express mara nyingi husafiri kwenda lodwar mpaka "kakuma" turkana county.
ni moja ya safari ngumu sana niliyowahi kusafiri kwa gari nikiwa kenya.
barabara ni mbovu sana.pia mda wote abiria wanakuwa na hofu ya kutekwa na bandits toka kabira la pokot au kutekwa na alshabab since owners wa dayah ni wasomali.
dah!!umenikumbusha mbali sana annael.asante sana.
aa. wakibongo hunuka moshi tu. sijui huwa wanajifukiza moshi au vipi😀😀😀 mademu wakibongo wewe huwawezi
Sio mademu wenu wajaluo wachafu sana
umekubali???buda vipi mbona unataka kututoa kwenye lengo....?...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
we have realized you are feeling ashamed to post photos of your buses in kenya... we are doing it for you.Mumeweka hadi basi za 1980's lol
Kama zile zenu za kuingilia dirishaniwe have realized you are feeling ashamed to post photos of your buses in kenya... we are doing it for you.
udugu ni kusaidia.[emoji23] [emoji23]
true experience... will never forget it in my life.
dayah express mara nyingi husafiri kwenda lodwar mpaka "kakuma" turkana county.
ni moja ya safari ngumu sana niliyowahi kusafiri kwa gari nikiwa kenya.
barabara ni mbovu sana.pia mda wote abiria wanakuwa na hofu ya kutekwa na bandits toka kabira la pokot au kutekwa na alshabab since owners wa dayah ni wasomali.
dah!!umenikumbusha mbali sana annael.asante sana.
Huu Uzi Leo umekaa vibaya sana kwa hawa jamaa toka Kenya nchi ya njaa na Ugaidi,