Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Only CBD looks better, na sio yote, sehemu ndogo sana looks modern, an area less than 10% of the whole sq km! ukibeba vijijini ndani ya kichwa kisha uje umwage mjini., inakua kijiji kubwa, yaani mashambani mjini..,
It's called a glorified fishing village my brother
 
Alaa! [emoji23][emoji23][emoji23]



 
Sisi tayari tunavyo, na ukisikia U/C ya stadium Tz ujue ni ya ku break the history Mana Magu alishatuonesha tunaweza.
Vitu unapost hapa sio viwanja. Zile zizi za ng'ombe. Viwanja tunapost nyingi ziko na wall na roof all-round. Zako watu hunyeshewa na kuchomwa na jua
 
Hawa huwa inatakiwa uende nao hivo.

Wakija kwa matusi unaenda nao kwa matusi pro.
Wakija kutroll na wewe unaenda kwa kutroll.
Wakija kwa kejeli na wewe unaenda nao kwa kejeli.

Venus Star yupo sahihi.
Na nmemuomba aendelee kuweka ukweli hapa mana aliwakanya wakabisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…