Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hamuwezi vita, kubalini mlipigwa na watoto wavuta bhage, Comoro mkacharazwa huku wengine wakifa maji, na typhoid juu, Darfur kule hata usiseme! POW hutokea vitani, hata the so called first world nations, wanajeshi wao mara ngapi tumesikia wakichukuliwa mahabusu wakiwa vitani. Mangese walimkimbia hadi Amin, baada ya kupata msaada, ndio mkajipeleka. Mngefutwa kwenye ramani ya dunia nyie ka si usaidizi. Uliona wapi nchi askari magereza, traffic, askari usalama hadi wahudumu wa mortuary wanapelekwa vitani kusaidia jeshi lao hafifu? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂


Mjaribuni sahi, M7, muishie kulilia chooni, panya buku nyie! Hawatumii mchina waganda wa sahi! 🤣 🤣
 
Wazee wa ugali, akili hawana kwa kuendekeza unga tangu wakiwa watoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wazee wa wali, ndio maana mnagongewa nje, sababu kitambi na ile issue ya wakubwa haviendani kabisa! 🤣 🤣 🤣
Alafu nyama ya watu mbone mnapendaga, hakuna ng'ombe na mbuzi nk huko? 😂 😂 😂
Tanzanian man 'beheaded and cooked' after adultery claims
A local leader in Tanzania was attacked and beheaded by a gang of men, who then cooked some of his body parts, allegedly following accusations of adultery, police …
 
Na post moja unajibu na co unavizia mada imepita ndo unapost kwa kuchungulia, yn mm nipost 10 wewe upost moja, twende kazi Wakenya nimeanza battle ya stadiums.
 
is this a stadium or a ruin? Ona venye kamechapa utadhani ni iliacha kutumika 1738[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeanza kuogopa sasa, hii hapa Uhuru Stadium jibu tuendelee sitaki maneno ya kanga hapa, niko serious[emoji116][emoji116]
 
True, naeza prefer tuwe na viwanja 20 za 15k capacity ambazo zimecover almost the whole of kenya kuliko kuwa na viwanja vikubwa 3-5 in the major cities
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…