Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Better trained kila siku mnabakwa na alshabab alafu vifaa vyenu ni ovyo mfano kila siku ndege za jeshi lenu linapata ajali.mnajeshi ovyo Sana moja juzi alianguka kutoka kwenye parachuti mbele ya Rais na Wale wa west gate .you have worst Amy ever.
Juzi mumebakwa Mtara na alshabab,pia Congo na Adf.militia nyinyi!
 
Yeah Chinese cheap low quality systems,budget ndogo militia!View attachment 1831803View attachment 1831805View attachment 1831790
Burget ndogo lakini halijawahi kushindwa vita yoyote tangu lianzishwe [emoji23][emoji23][emoji23]

Vipi nyie wenye burget kubwa kila mpoingia mnaangukia pua!

Migingo ipo chini ya Uganda na hakuna kitu mmefanya.
Somalia wanawatia dole.
Ethiopia wanatungua ndege zenu.
Mmeshindwa kulinda mipaka yenu.

Wanamgambo kutoka Somalia wanakusanya kodi ndani ya kenya.

Mlishawahi kutimuliwa kwenye mission za Umoja wa Mataifa.
Mmeshindwa kulinda raia wenu.
 
We still in Somalia since 2011,kismayu base ya alshabab tuliwaondoa!
Lengo lilikuwa ni kuwamaliza hao wanamgambo.
Je mmefanikiwa? [emoji23][emoji23][emoji23]

Kazi ni kuuza mkaa somalia.

Alishabab bado wanaingia kenya wanavyotaka yaani anytime wakiamua wanaingia.
 
Lengo lilikuwa ni kuwamaliza hao wanamgambo.
Je mmefanikiwa? [emoji23][emoji23][emoji23]

Kazi ni kuuza mkaa somalia.

Alishabab bado wanaingia kenya wanavyotaka yaani anytime wakiamua wanaingia.
The aim was to install and stabilise Somalia government to able fight alshabab on their own.We will get out of Somali when African Union mandates ends.
 
The aim was to install and stabilise Somalia government to able fight alshabab on their own.We will get out of Somali when African Union mandates ends.
How comes. You don't have stable government you want to install to other country 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…