Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huoni ana insist one level inafaa ianzie ground level
Si wajua elimu kule kwao ni bora tu umeenda shule! Yani yeye anajua kwamba ile underground tunnel sio level. kitu nimegundua na huyo boya ni kwamba hajui maana ya level in this context
 
Si wajua elimu kule kwao ni bora tu umeenda shule! Yani yeye anajua kwamba ile underground tunnel sio level. kitu nimegundua na huyo boya ni kwamba hajui maana ya level in this context
Mwngine nae kaja na mfano eti mbona underground floors katika ghorofa hazihesabiwi..yani mpka unashindwa kwn floors na levels zimeingilia wapi, kitu ambacho hawajui level inaweza kuwa hata kw straight line hta kwenda chini as long as kuwepo na procedures..
Yani tuseme level ya pili hufiki mpka kuwepo na mbinu utakazotumia kukutoa wewe ulipo hadi level ya kwanza hadi ya pili au yatatu
 
Umenza kuandika insha siyo!? Hapa tunapiga show show.
 
Kuna mkenya ameleta mpaka clip ya rally ya Australia, halafu anaandika kabisa eti currently in Naivasha. Wanatupiga fix sana
Only one FIA,WRC event is currently underway in Naivasha this weekend,any jalopy racing out there is shit!
Kuna mkenya ameleta mpaka clip ya rally ya Australia, halafu anaandika kabisa eti currently in Naivasha. Wanatupiga fix sana
 
So what!?
Unajua hii!? Jakaya Kikwete Youth Park




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…