Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We pimbi hujagundua tu uwa siquote ushubwanda wako!
Wewe tulia πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰ iingie, kama nimeongea utopolo, hebu ni tag hapo kama vipi tutoke sparr!
Ticket za ku expire... πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hii ndio Magomeni tunapigiwa nayo kelele hapa eti iko na density. Sijui anamaanisha density ya uswazi ama nini

Linganisha hiyo Magomeni na Eastleigh below in density in terms of high rise buildings. The difference is like day and night.

Yani Dar hakuna kitu once you step out of that cbd. Ukishatoka nje tu ya cbd hivi ni uswazi mwanzo mwisho
 
Watu washakasirika yani nimepost mapipa tu alone watu washahaha 🀣🀣🀣🀣
 
Achana na huyo kilaza. I have decided to just assume him. Nikianza kutupia picha za 'density' ya magomeni utacheka ufe. Yani ni uswazi kushoto kulia kama ilivyo kawaida sehemu nyingi za Dar
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 mumeanza kunikimbia sasa baada ya vipigo
 
Rudi kwenye kazi kwanza πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Hii ni shemu inaitwa mapipa haijafika hata robo ya magomeni
 
🀣🀣🀣🀣🀣 tuseme huku wanaishi nguruwe na sio binaadamu alooo
World bank hawakukosea kusema munaumaskini mkali kuliko zimbabawe hawakukosea
 
Kwani pipeline huitaki tena πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ 😁 😁 ,View attachment 1821522magomeni mapipa imerambishwa lolo sasa leta kwingine 😁 😁View attachment 1821523
2.5m kibera alone hamupost huku 🀣🀣🀣
🀣🀣🀣🀣🀣 tuseme huku wanaishi nguruwe na sio binaadamu alooo
World bank hawakukosea kusema munaumaskini mkali kuliko zimbabawe hawakukosea
View attachment 1821521
 
Magomeni bado inakusumbua tena mapipa
Kwani pipeline huitaki tena πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ 😁 😁 ,View attachment 1821522magomeni mapipa imerambishwa lolo sasa leta kwingine 😁 😁View attachment 1821523
 
Ati kama za Europe???? Umekunywa chai wewe? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡



















 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…