Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hilo jijibu!

Yaani makomando wa KDF baada ya kuvamiwa wakaona isiwe kesi ngonja tule kona vichakani,wakawaacha wamarekani wanapambana peke yao.. Aisee ndo maana sishangai kuona makomando wa KDF wakidondoka na maparashuti kama maparachichi yaliyokwiva juu ya mti
 
Hamna kitu kama hicho, kenya tunaijua inside and out humdanganyi mtu hapa
Mambo mageni kwenyu, wakati KE tangu 2000 tunatumia mfumo wa pre-paid kuanzia stima hadi maji. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ



V/S KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ








Pre-paid meter card πŸ’³

 
Watu wa kuangalia movie za Rambo, hivi umeona failure ya parachuti pale? Rudi ukalale ka hujui unasema nini! 🀣 🀣 🀣
 
Nionyeshe yenyu, mambo ya kawaida sana! 🀣
 

Attachments

  • Sx6lJETYGu_ezbUJ.mp4
    2.9 MB
hii twiga huko jiran ni ya mzungu [emoji1438]‍♂️
View attachment 1807065View attachment 1807067
TWIGA FOODS CO-FOUNDER PETER NJONJO, TAKES OVER AS NEW CEO.

The outgoing CEO and co-founder, Mr Brooke, has led the growth of Twiga foods for the past 5 years where it has grown quite considerably and has raised a lot of money since then. β€œPeter’s leadership will be about institutionalizing this way of doing business and scaling it,” Mr Brooke said.
Mr Brooke will retain his executive role in the organization, working with Mr Njonjo to expand the start-up’s footprint into the rest of sub-Saharan Africa. Launched in 2014 to address inefficiencies in Africa’s large, but highly-fragmented informal fruit and vegetable markets.
In 2019, Twiga Ltd worked with 17,000 farmers, and 2,500 retailers daily and was looking to further expand its operations within and outside Kenya.
Last time I checked they were securing markets in West Africa as it is a sizeable opportunity due to its higher rates of urbanization compared with the east, after they raised $30 million from lenders and investors led by Goldman Sachs.
NB: That was 2019... 😎

 
Eti 2000 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Private project for his few people ndio unasema ni mradi wa Kenya nzima?

Tena mradi wa 2018 unasema wa 2000 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hata Mpesa bado haijulikani itakua lini
 
Sindano za hizo tweet zimekuingia vizuri kabisa [emoji122] [emoji122] [emoji122]
We pia ni kati ya wajinga wakubwa kabisa[emoji1787][emoji1787]
Yani nifundishwe kw kingereza miaka yote hyo alafu nikiongea wewe ndio wa kuteseka..
Poleni sana wajombire, mtu kuongea lugha alofunzwa nayo tangia la kwanza kwenu eti kujitapa...si mnaumia sana jamani
 
Kenya watafika 2050 kipindi watakua na maji salama 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Nyumba za polisi dar kilwa roadπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ Wakenya watafika hzi level 2050 πŸ˜† wamebakia kuonesha estates za wenyewe wao ndoto ya plot wala nyumba hakuna mpaka kiyama πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


pic iphone 12 proπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…