Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wafike kwanza hivi viwango halafu ndio waje tuongee .. Kenyans behind Tanzanians, sisi tunachanja mbuga kwenye boxing nyie bakieni na mbio za riadha ..
Nikianza na list ya sports zenye tunapeleka Olympic, utadharau hiyo boxing mkuu... Teakwoodo tupo, Mbio tupo, Rugby tupo, Volleyball tupo... Yaani bado. Wacha walioenda Senegal warudi alafu nikutengezee full list. Ata hiyo boxing sio ajabu nikapata ime qualify! 🤣 🤣 🤣
 
Tukisema sisi wanasema hatuwapendi 👇👇
Haya nyingine tena hio baada ya ile ya jana ya raila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…