Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Ile ya india umeitoa sasa tuataelewana taratibu tu 🀣🀣🀣🀣🀣

picha ya kwanza ni nyumba za wakimbizi kigoma na picha ya pili ni zanzibara old town au stone town usikasirike lakini
 
Hii nimetoa kwa website ya Tanzania airport authority. JKIA 9 million and JNIA 2 million πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡


 
Enheee safi kabisa 2019 terminal 2 ime handle 3.5m passengers na hapo terminal 3 haijafunguliwa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£
View attachment 1787857
Acha ujinga, hiyo ni table ya total airports in Tz. Ya JNIA ndio hii hapa πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


 
Ile ya india umeitoa sasa tuataelewana taratibu tu 🀣🀣🀣🀣🀣

picha ya kwanza ni nyumba za wakimbizi kigoma na picha ya pili ni zanzibara old town au stone town usikasirike lakini
View attachment 1787856
Usijifanye chizi, ulisema ni prove kama hizi picha mbili ni tanzania na ushakubali. Hio ya zanzibar na india zimetokana na wakati na crop hio article.
 
Sasa leo unajifanya kuwa hujui Kenya ilikuwa lockdown last year.
So 2020 hamujafkisha hata 3m passenger je ni sawa ??? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sasa tusubiri statistic za 2020 tuone ukweli uko wapiπŸ˜‚
 
Usijifanye chizi, ulisema ni prove kama hizi picha mbili ni tanzania na ushakubali. Hio ya zanzibar na india zimetokana na wakati na crop hio article.View attachment 1787861View attachment 1787862
Nakwambia tena picha ya kwanza ni nyumba za wakimbizi kigoma na picha ya pili sio dar 🀣🀣🀣🀣 wewe okota hata picha congo useme dar madamu sio utahangaika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…