Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huezipingana na ukweli kijana. Hii ni 2020 report from Tanzania airport authority πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 1787795
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ hapa ndio nilikua napataka
 
That is terminal 2 before terminal 3 🀣🀣 umejikanyaga sasa nilikua napataka hapo
Naona umechange gearπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚. Hii terminal zote combined za JNIA πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£

 
Shidako huelewi kingereza. Capacity ni tofauti na PAX. PAX ya JNIA ni 2 million upende usipende🀣🀣🀣
Nakwambia 2.5m passengers walikua served 2018 na terminal 2 ndio maana wakaamua kujenga terminal 3 baada ya kuzidiwa terminal 2 πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wewe usibadilishe mada kwanz na tweminal 3 imefunguliwa mwaka jana
 
Hizo picha haitabadilisha ukweli kuwa JKIA inahudumia abiria milioni nane wakati JNIA inahudumia abiria milioni mbili pekee[emoji23][emoji23][emoji1787].

View attachment 1787740
Unaongelea ukubwa au unaongelea huduma, mana mm naweza nikawa na kibanda changu cha m-pesa kdg tu lkn kikawa kinahudumia wateja 100 kwa cku kulingana na matangazo lkn mtu akawa na duka lake kubwa la m-pesa lkn akawa anahudumia wateja wawili.
 
Tunaongelea PAX wewe unatuonyesha Capacity, akili yako iko sawa kweli? πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚ PAX ya JNIA ni 2 million upende usipende 🀣🀣

 
Hizo picha haitabadilisha ukweli kuwa JKIA inahudumia abiria milioni nane wakati JNIA inahudumia abiria milioni mbili pekee[emoji23][emoji23][emoji1787].
Umebadili usemi au sio, kutoka ukubwa mpk kuhudumia, lengo langu lilikuwa hilo tu kwamba ushaelewa ss [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Shidako huelewi kingereza. Capacity ni tofauti na PAX. PAX ya JNIA ni 2 million upende usipende🀣🀣🀣
Mm hua subishani na wapumbavu kama weweπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ 2017 hio






na 2018 ikapanda mpaka 2.5m passengers πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Tunaongelea PAX wewe unatuonyesha Capacity, akili yako iko sawa kweli? πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚ PAX ya JNIA ni 2 million upende usipende 🀣🀣

View attachment 1787806
2019 to 2020 JNIA terminal 2 imehudumia about 2.7m to 3m passenger na 2020 ndio terminal 3 ikafunguliwa ndio waka separate domestic and international 🀣🀣🀣🀣
 
Unaongelea ukubwa au unaongelea huduma, mana mm naweza nikawa na kibanda changu cha m-pesa kdg tu lkn kikawa kinahudumia wateja 100 kwa cku kulingana na matangazo lkn mtu akawa na duka lake kubwa la m-pesa lkn akawa anahudumia wateja wawili.
Your excuses are as foolish as you, any airport sio kibanda cha mpesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…