Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo picha haitabadilisha ukweli kuwa JKIA inahudumia abiria milioni nane wakati JNIA inahudumia abiria milioni mbili pekeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.
JNIA terminal 3 imefunguliwa mwaka jana unauwezo wakuhudumia abiria 7.2m per year alone hapo weka mbali terminal 2 and 1 na ukumbuke terminal two ilishazidiwa almost 4 yrs ilikua inahudumia mpaka abiria 2.5m passengers sio size yake ndio maana wakajenga terminal 3 baba yao kwasababu watalii wanaongezekana na biashara zinakua
 
JNIA terminal 3 imefunguliwa mwaka jana unauwezo wakuhudumia abiria 7.2m per year alone hapo weka mbali terminal 2 and 1
Toa ujinga hapa, terminal zote tatu za JNIA inahandle 2 million passengers πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Toa ujinga hapa, terminal zote tatu za JNIA inahandle 2 million passengers πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Dar is slumπŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰ πŸ’© πŸ’© πŸ’© πŸ’©
 
JNIA is handling 2 million passengers kijana, acha kupingana na ukweli.
Baada ya terminal 2 ku serve 2.5m passenger ndio wakaamua kujenga terminal 3 ambayo max capacity yake ni 6 to 7m passenger ukitaka chukua hutaki acha 🀣🀣🀣🀣

 
Terminal zote za JNIA inafanya PAX ya 2 million na huo ni ukweli uezifutikaπŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…