Sasa kipi kinakuwasha. Sisi tunapenda football tukishindwa sisi hatuumii halafu wakenya mnaumia si ujinga huo.But you perform poorly in football, mngekua league ya akina Cameroon sawa, add more to sports
Rooney could feature in Tanzania friendlyBut you perform poorly in football, mngekua league ya akina Cameroon sawa, add more to sports
Hakuna mchezo mnajua, hakuna ile mushaitamba kwa international level.Nimekueleza huo sio mchezo wetu. Kwanini unalazimisha tufanane. Acha kujipendekeza TZ
Sasa shida yako ni nini!? China wameshawahi shinda mchezo gani!?Hakuna mchezo mnajua, hakuna ile mushaitamba kwa international level.
Talk on your behalf wachana na China, they are so good at so many sports. Sports hamjui kitu.Sasa shida yako ni nini!? China wameshawahi shinda mchezo gani!?
Mbona mdomo mrefu sana juu ya TZ. Wewe kwanza hujui tofauti ya digital na analog utaweza kweli kujadili na mimi.
Hivi umekula kweli!?
Nimekuuliza umekula lakini!? Kukimbia kimbia ovyo ovyo kama punda ndio mnajiona mnajua!?Talk on your behalf wachana na China, they are so good at so many sports. Sports hamjui kitu.
Unaniuliza nimekula ndo unitafutie choo ama? Wacha tukimbie kama punda bora tunajenga jina.Nimekuuliza umekula lakini!? Kukimbia kimbia ovyo ovyo kama punda ndio mnajiona mnajua!?
Hayo ni maonesho ya wanyama.
Dogo umekula lakini!?
Kwikwikwikwi. Jina gani hilo wazungu wanawaona kama wanyama. Mnatuaibisha bana. Nimekuuliza umekula lakini dogo!? Kama vipi njoo Dar ugali unapatikana kwa wingi. Lakini usisahau passport yako sawa dogo!?Unaniuliza nimekula ndo unitafutie choo ama? Wacha tukimbie kama punda bora tunajenga jina.
Lazy lot pengine mshinde sports ya kulala. Sijawai lala njaa brathe in fact I eat better than your whole village.Kwikwikwikwi. Jina gani hilo wazungu wanawaona kama wanyama. Mnatuaibisha bana. Nimekuuliza umekula lakini dogo!? Kama vipi njoo Dar ugali unapatikana kwa wingi. Lakini usisahau passport yako sawa dogo!?
Sasa kipi kinakuwasha. Sisi tunapenda football tukishindwa sisi hatuumii halafu wakenya mnaumia si ujinga huo.
90% ya wanaume Tz wanajua soccer. Sasa wewe mkenya unatupangia tuishije umekosa kazi ya kufanya tukupe ajira. Kwanza kabla ya yote umekula lakini kijana!?
Sasa shida yako ni nini!? China wameshawahi shinda mchezo gani!?
Mbona mdomo mrefu sana juu ya TZ. Wewe kwanza hujui tofauti ya digital na analog utaweza kweli kujadili na mimi.
Hivi umekula kweli!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekuuliza umekula lakini!? Nasikia Nairobi ugali ni luxury. Jibu swali dogo umekula lakini!?
Kwani ugali ndo chakula pekee, wewe mwehu nini! Mada ilikua you been poor at sports.Nimekuuliza umekula lakini!? Nasikia Nairobi ugali ni luxury. Jibu swali dogo umekula lakini!?
Eeehhh nimekula dem yako.Mbona unakwepa swali langu. Mbona unaonashida kunijibu!? Nimekuuliza umekula!? Jibu ndio au hapana, mbona simple tu.