Swali lingeni kwako ivi Kenya mna speed gun , uku bongo tunaziita tochi ,maana nilidrive from namanga mpaka Nairobi sijaona traffic police akiwa na chombo chochote cha kupima speed kwa hiyo nilikuwa nateleza mpaka 140 kwenye speed 50wacha niwatafute na torch
Top Tech-Savvy Cities in Africa - Africa.com
When we talk about technology ni kama ifuatavyo
Kitengo cha Moyo. Muhimbili hospital. Watu wanahudumiwa hapa hapa nchini wenye matatizo ya moyo
View attachment 537351
hahaha. . .I give up bana
We are talking about technology not about buildins. We need devices. Show us the devices. Hivi nyie wakenya mbona wajinga kiasi hiki.The aga Khan university Heart and cancer centre Building
πππππππkampala na kigali kanyorosha mji flani wa LDC. ...hahaha. Hadithi na porojo ya vijiweni nimeinulia wana bongo mkono
Ndugu hospitali ya moyo ya jakaya ni hatariiWe are talking about technology not about buildins. We need devices. Show us the devices. Hivi nyie wakenya mbona wajinga kiasi hiki.
Ficha upumbavu wako hapa.
Leta vifaa vya operations za moyo.
We are talking about technology not about buildins. We need devices. Show us the devices. Hivi nyie wakenya mbona wajinga kiasi hiki.
Ficha upumbavu wako hapa.
Leta vifaa vya operations za moyo.
Hatariiii
You Can google heart and Can er centres in Nairobi. Some even organize for marathons in the city to fundraise for the poor chaps who need a heart transplant in these centres and cant afford.
ππππYou Can google heart and Can er centres in Nairobi. Some even organize for marathons in the city to fundraise for the poor chaps who need a heart transplant in these centres and cant afford.
Again aga khanππππThe aga Khan university Heart and cancer centre Building
Mater Heart Run β Touch many more children's Heart
Even some Tanzanian children benefit from this.
Again aga khanππππ
Aga khan wanajenga hospitali na medical univesity arusha hatariiii...cost yake 1b $
Hakuna east wala central hio lakini hatusemi hapa
Umeona hio kitu....3200 acreswhatever. .....