Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Baadhi ya tv station zenye app tz
 

Attachments

  • Screenshot_20170702-192544.png
    129.9 KB · Views: 43
  • Screenshot_20170702-192602.png
    118 KB · Views: 38
  • Screenshot_20170702-192656.png
    237.9 KB · Views: 41
Mbona hawaji everton kucheza kasarani???????
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kasarani is hosting World U-18 athletics championship....130 countries expected in the next few days
 
Kasarani is hosting World U-18 athletics championship....130 countries expected in the next few days
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ lakini everton hawaji hapo
Ubishi mwingine wakipuuzi kweli
 

Unapokua hujui kitu jaribu kuuliza badala ya kuanza kuandika vitu unavyo amini.

Siio Urusi wala China waliomkalia kooni Nyerere.

na Tatizo halikua Socialism. Swala kubwa lililoua na kuharibu uchumi wetu ni "Liberation of Southern Africa, na vita vingi visivyo na tija, kama Seychelles, Uganda, Mozambique Renamo,. Hela nyingi za viwanda tulivyokua navyo na vilivyojengwa ilikua ikitumika kufadhili vita.

Vita ya Uganda ilienda kupiga msumari kwenye Uchumi kabisa, baada ya Vita ile, viwanda vingi vya vilianza kufa, UDA, SunguraTex, MwaTex, kiwanda kikubwa cha Maziwa kilikua kimeunganishwa mpaka na reli, Ubungo maziwa, Urafiki, Fishnet, kiwanda cha kutengeneza Redio na battery National, viwanda vya sabuni, Mbuni, Mbunju, Kodrai, vingi mno

Kwa sisi tuliokuwepo miaka ya 1980s tunakumbuka vizuri unga wa Yanga, wengi wenu bado ni wa umri mdogo na hamkukuta sabuni kama Kodrai.

Swala lililoua uchumi ni Ukombozi wa Africa na vita vingine visivyo na msingi kama Uganda, Seychelles.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…