Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa ni mshamba na mbishi sana

gorma goma sikuhiz kumbe inacheza rugby!??
 
Huo ndio ukweli, 90% of homeless people in Kenya are Tanzanians[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Vp yale maslums ni ya Watz auuu[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Walisharudishwa wakarudi tena. Police ilianza kuwapa viboko watu wa human rights wakaingilia. And you have to understand we are a democratic country and not dictatorship country kama Tanzania.
 
Nioneshe evidence mlipowarudisha kimba we [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Asante kwa kibali kuwa 90% of homeless people in Kenya are Tanzanians[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122]
Vp yale maslums ni ya Watz auuu[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Nioneshe evidence mlipowarudisha kimba we [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
Hawa walikuwa makueni county[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]

This is Migori[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Nioneshe evidence mlipowarudisha kimba we [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Mm wakuu nashindwa ku login twitter kwa kutumia simu yng, nmesahau password, tng simu ya kwnz iharibike (niliipasua kioo) nashindwa kulogin twitter kwa kutumia hii mpya, hata niki create new account inagoma,msaada wandugu.
Mkuu mie mwenyewe Twitter tokea uchaguzi mpaka leo ni marinji rinji,siwezi kufungua bila VPN,pia picha azifynguki kabisa,,iko slow sana...labda ni mimi tuu?sijui.
 
Huo ndio ukweli, 90% of homeless people in Kenya are Tanzanians[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Hii haiingii akilini aisee,Ina maana nchini kwenu mtu anaweza akaingia akajifanya Ni ombaomba kumbe Ni shushushu flani tu, katumwa na nchi yake Kisha akimaliza anasepa zake kiurahirahisi tu[emoji849]ajabu hiii!!
 
Kenya is not the only country that is tolerating Tanzanian beggars in her streets. Kule South Africa mumejazana mkijidanganya kuwa nyinyi ni omba omba kumbe ni wauza Bangi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…