Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakibanwa hu post slums na turkana[emoji1787][emoji1787]
Huaga wanaogopa facts sana
Sema wakibanwa huwa wanakimbilia kupost picha za Nairobi na Turkana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Asante kwa kuongea ujinga[emoji23][emoji23]
 
Sasa kwani si hiyo video inaonesha empty seats kibao tu, hata terminals zinaonekana tupu kabisa

Ninyi kubalini tu kusafiri sio culture yenu, mtanzania hawezi kukaa miezi mitatu bila kusafiri, subiri hiyo SGR ianze uone itakavyochangamkiwa
Yani hawa ni chenga sn
 
Kenya ina idadi kubwa ya homeless people kuliko nchi yoyote Africa
Hawa watu wanatia huruma sana

View attachment 1673674View attachment 1673675
90% of homeless people in Kenya are Tanzanians[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Tanzanian beggars floods the Street of Kisumu
 
Hajawahi tokea mtanzania atakaeacha hali ya maisha ya Tanzania aende Kenya, never ever 😁😁😁 wakenya wenzenu hao
 
Usionge ujinga km huelew lugha kaa kumyaaa mbn kaongea vitu vykawaid dogo...akil ndog bhn
Hahaha!!ukweli mchungu sana jamani[emoji1787][emoji1787]
We kwanza hyo lunatic aliyoiongelea hapo ni gani au ni lugha ndio hukuelewa
 
Hehehe 90% of homeless people in Kenya are Tanzanians[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Hajawahi tokea mtanzania atakaeacha hali ya maisha ya Tanzania aende Kenya, never ever [emoji16][emoji16][emoji16] wakenya wenzenu hao
 
Sasa kwani si hiyo video inaonesha empty seats kibao tu, hata terminals zinaonekana tupu kabisa

Ninyi kubalini tu kusafiri sio culture yenu, mtanzania hawezi kukaa miezi mitatu bila kusafiri, subiri hiyo SGR ianze uone itakavyochangamkiwa
Labda unambie wachaga kisha wao ni vile wanaenda kwao kw ajili ya siku kuu[emoji1787][emoji1787]
Nyie wengine hyo siyo tamaduni yenu..

Wakenya karibia kila likizo jamaa wanasafiri mashinani
 
Sema wakibanwa huwa wanakimbilia kupost picha za Nairobi na Turkana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
Umekasirika..
Picha za slums ziko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…