Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,172
- 107,746
Inakaa tents hazikuishia JKIA! Now available at Moi University!Mpaka university zenu kuna ushuzi na uozo π€£π€£π€£πππ
Hii itakua kama BRT ya thika Road nmefikia wapi? Maneno mengi na plans kibao lakini hamna kituπUhuru na Kaziππ. Sisi tushasahau mambo ya expressway sasa tuko kwa project ingineπππππ
View attachment 1668935View attachment 1668936View attachment 1668938
Haya sasa leta picha za Nairobi kaka.., una derail uzi wa Nai vs DarππShule nzima hakuna madarasaπ€£π€£π€£π€£
Kibaha highway imekuwa wimbo hapaKumaliza kibaka road ya 9km imewashinda after 3 yearsπ€£π€£π€£
Tanzania mko pia na shida mingi mno, the reason you mko kwa mkia wa mido income, hamuonewi.., ni shida ya Africa(sub saharan), lakini nyie ndio bingwa., nyani haoni kunduleππ π π π hapa hakuna debate., kila mtu apambane na hali yake!!Kweli tumeona π€£π€£π€£πππ
Hii njia unajaribu kufuata unafaa ujue akina ichoboy01 walijaribu wakashindwaπ€£π€£π€£ alikuwa anapaza sauti hapa venye expressway haitawaijengwa, saa kazi yake ni kulia usiku na achanaππ. Hata wewe I would advice you to retract your statement before it's too late because we will be using it to tickle youπ€£π€£Hii itakua kama BRT ya thika Road nmefikia wapi? Maneno mengi na plans kibao lakini hamna kituπ
Haupendi ukweli ichoboy01 π π π π mimi si mwehu kaka! wacha ujinga google and see how your education system is sickbro., kelele uwache! (poor learning environment in Tanzania)Hebu tuaminishe hapo ni tanzania ili tukiamini π π π π
[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]Ushahidi huu hapa km bado hamuwaamini walimu wenuView attachment 1668965
Tatizo hawajasema km wanataka walimu wa kingereza pekeakeApo wanataka walimu watajaofundisha kingereza, Alafu ilo tangazo hua linawspa raha sana tehteh
Upuuzi huu nimeanza kuonea tanzania walaiMnapiga kelele hapa na hamna madarasa nchi nzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Umeumiaeee..[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]
[emoji1787][emoji1787]
Hii debate ya shule I said earlier wafungue thread wakakwepa, was waiting ni waumbue vibaya, have seen what they posted, hawatoshi hata kwa Uganda, I know TZ in out, Uganda betters them in matters education both academics na infrastructure., ni kelele ya masikini jeuri tu humu, kiburi on steroids!πππ, wangekua na some semblence ya liberal media wangejua hawajui π π πUpuuzi huu nimeanza kuonea tanzania walai
Something Amazing, π₯π₯π₯
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]JARIBU MPAKANI(SHULE YA MSINGI) wView attachment 1668969View attachment 1668970