Tofauti ya Mr president wa sasa na waliopita huyu haogopi kusema ukweli,yuko very straight,haijawah kuruhusiwa mwanafunz kuzaa na kurudi shule za umma apa Tz, sio kitu kipya ichoI think he was high on his middle name
But hiyo ni kua backward sana....elimu ni basic need kama chakula na mavaziTofauti ya Mr president wa sasa na waliopita huyu haogopi kusema ukweli,yuko very straight,haijawah kuruhusiwa mwanafunz kuzaa na kurudi shule za umma apa Tz, sio kitu kipya icho
Option aende private schoolBut hiyo ni kua backward sana....elimu ni basic need kama chakula na mavazi
Plaza na tower ni malls?
Uhuru anaakili sana anyway...ndio maana nyie wezi mnauchungu sana na nchi yenuHapo Mr Pombe alireason na makalio yake. Such stupidity cant be tolerated in Kenya
Private ni expensive si kila mtu ana afford.... Sasa masomo at a pata private ni different na public?Option aende private school
Shopping plaza si plaza tuCollo mhzi kumbe ..synonyms na wewe zimekutupa mkono ckujua maskin[emoji23]
Sasa kama anajua kuna gharama atulie asome ,mapenzi ni gharama huwezi sina bure na bado ubebe mimbaPrivate ni expensive si kila mtu ana afford.... Sasa masomo at a pata private ni different na public?
Shopping plaza si plaza tu
What if one is raped....so you guys never give a second chanceSasa kama anajua kuna gharama atulie asome ,mapenzi ni gharama huwezi sina bure na bado ubebe mimba
Iyo sheria ilikuepo muda sana, na ndio maana mkuu kasema izo NGO Zinazopinga wajenge shule za wazaz kama wanaumia sanaWhat if one is raped....so you guys never give a second chance
Ata case ya rape hawatambui?...then many would opt for abortionIyo sheria ilikuepo muda sana, na ndio maana mkuu kasema izo NGO Zinazopinga wajenge shule za wazaz kama wanaumia sana
Second chance ni private agharamike ,kumbuka sahv wanasoma bure primary and sec school hadi form 4
Na kama imekuwepo for long kwa nini watz wengi wanipingaIyo sheria ilikuepo muda sana, na ndio maana mkuu kasema izo NGO Zinazopinga wajenge shule za wazaz kama wanaumia sana
Second chance ni private agharamike ,kumbuka sahv wanasoma bure primary and sec school hadi form 4
Wtz wengi wanapinga kufuata mkumbo...mimi sipingi mbona...Na kama imekuwepo for long kwa nini watz wengi wanipinga
Yaonesha ichoboy anakunyima usingiziJust for laughs
Ichoboy akitafuta photo nlirequest mbeleni
Hamna kitu imebadilikaAma kweli siku zimekwenda siamini leo wakenya wanatapika povu namna hii just 10 yrs
I remb dharau na matus waliokua wanatukana watanzania lakin mambo yamebadilika.......
Big up kikwete big up magufuli...ππππ