Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani huyo jamaa ni mjinga kweli kweli, yeye hata hajishuguliki kusoma hiyo article. Kenya with a small population by 2018 tulikuwa na 6.9 million connected customers.
Kenya Energy Situation - energypedia.info.
As of 2018, 6.9 million people in Kenya have been connected to the grid i.e three quarters of the total population. Households in Kenya use the following source for lighting: Electricity - about 15% of the national population.Sep 24, 2020
 
As of 2017, customers connected to electricity in Kenya were 5.9 million. Wengine nao bado wanashangilia 2.7 million in 2020. something that we achieved in 2012.
Kenya Power confirms 5.9 Million customers connected to the grid | kplc.co.ke.
 
Kutoka wakati ule wa sakata la makinikia,huyu jamaa wa ufipa alivyopotosha nikaja kugundua kuwa ni uwongo,namchukia sana.yaani hata aje na sera gani,simsikilizi kabisa!
Mimi alinifanya nimuone kama tumbili tuu...juzi juzi akaja tena kujipigiza msumari eti wa Tz na kimombo...sisi tuna Lugha yetu yeye anajishaua na Lugha za mabasha zake.
 
yani ukweli hautabadilika kua tanzania ina 84% access to electricity haitabadilika mark my wordsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
2.7 million connected customers in 2020 wakati Kenya in 2018 had 6.9 million.
what about access to electricity ??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

tanzania 84%
kenya 74%
au nimekosea wajameni😝😝😝
 
what about access to electricity ??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

tanzania 84%
kenya 74%
au nimekosea wajameni😝😝😝
So umekubali kuwa only 2.7 million customers ndio wamekuwa connected to electricity Tanzania?🀣🀣🀣🀣
 
So umekubali kuwa only 2.7 million customers ndio wamekuwa connected to electricity Tanzania?🀣🀣🀣🀣
na umekubali tanzania inaongoza kua na access to electricity in africa πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
na umekubali tanzania inaongoza kua na access to electricity in africa πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tangu lini 32% ishawaiongoza in Africa?🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…