Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama unadhani mimi ndio nimetengeneza hiyo basi pole, that`s a screenshot from KNBS 2019 data
 
Tusonge mbele najua hamna barabara ingine ya Dar mnaezapost tena[emoji23][emoji23]

View attachment 1599499
Hz zote ulishapost juu nothing new, mm nmepost roads nyng mpya pia U/C cjagusa, ok bdae tutaendelea na vitasa now ngj niwajibike kujenga taifa langu nyie wenzangu hamna shida cz kodi pale kibera ni ksh50 per month mnapiga kelele humu jioni unaingia kwenye bati umemaliza wkt mm mwenzako nna mzigo wa majukumu so natakiwa ni work hard sn ok bdae aisee.
 
Nionyeshe anywhere nimepost hiyo barabara tofauti na hii moja ya leo. Ukinionyesha natoka jf for good.
 
Hahahaha hawa wakunya washenzi sana, eti kilometers 21k halafu wawe na barabara mbovu kiasi hiki?
Kama unadhani mimi ndio nimetengeneza hiyo basi pole, that`s a screenshot from KNBS 2019 data
View attachment 1599501
Hakuna report ambayo ipo trustworthy zaidi ya hii iliorepotiwa kwenye gazeti lenu, kwanza in reality tu hamuwezi kuwa na hizo kilometres yet miji yenu 80% haina lami


Leta map ya hizo tarmaced roads kama una ubavu
 
Kati ya gazeti na KNBS gani ni credible source?
 
Ss Teargass hyo road ina upya gn humu? Hyo road pia ni chafu mno km unabisha nikuletee hapa.
Mbona unajichanganya? Ulisema nishapost hiyo road na nikikuambia unionyeshe penye nilishaipost before tena umechange tune πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Huku ndipo walitaka bomba la mafuta la Uganda lipite!
 
Primary roads
Secondary roads
Minor roads
Special purpose roads
Unclassified roads

Ndio utopolo gani huu?
Au ndio pavements za majumbani? 😁😁😁😁😁

Em naomba mjadala uanzie hapa sababu kumbe tatizo lipo hapa 😁😁😁😁



Utahangaika lakini mwisho wa siku tutakubaliana tu.🀣🀣🀣🀣

KNBS - Economic Survey 2020
View attachment 1599518
 
Mbona unajichanganya? Ulisema nishapost hiyo road na nikikuambia unionyeshe penye nilishaipost before tena umechange tune [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwn hyo road ni mpya? Na mbn umepost kipindi cha upya wake? Weka picha yake halisi.

Road mmeshai vandalise, gali na watu wanapita hapo hapo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwn hyo road ni mpya? Na mbn umepost kipindi cha upya wake? Weka picha yake halisi.

Road mmeshai vandalise gali watu wanapita hapo hapo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hiyo ni barabara that was marked recently, pole kama unaiona kama barabara mpya.
 
Tanzania 12,000km of paved roads, Kenya 21,000km of paved roads.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…