COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Kwani hizo ghorofa unapostigi ni zako kumaa mamakoPimbi unajivunia nyumba ya Babu yako.. Where is yours??
this is my grandfathers house in the village about 300km from Nairobi same with kadodas houses
Theres nothin there,we hav much more to offer and u knw thatApo vipi ujasoma namba tu?utakua ujui kusoma
Si mweke picha za project ikiendelea like we did si kudownload other projects na kutudanganyaKwan uliskia wanaojenga kina nani??????
😀😀😀😀😀😀😀😀
BogaTheres nothin there,we hav much more to offer and u knw that
Hii wapi mkuu
Sio desturi yetu kutukana hiviKwani hizo ghorofa unapostigi ni zako kumaa mamako
Huyo ni WakupuuzwaSio desturi yetu kutukana hivi
Matusi tafadhali.......try to respect each otherKwani hizo ghorofa unapostigi ni zako kumaa mamako
Nani akudanganye kwan kipindi munajenga sisi tuliwasumbua we subiri 2.5 yrs utaletewa mambo mazuri 😀😀😀😀😀😀Si mweke picha za project ikiendelea like we did si kudownload other projects na kutudanganya
Hii ndio nchi wanasema ina uchumi mkubwa.....
Naendelea kupata majibu kwa nn wanaume wa Kenya mnapigwa na wanawake , mwanaume badala ujivunie nyumba yako uliyo plan mwenyewe apo Nairobi na kujenga kulingana na ndoto zako una leta ya babu yako ,poor grandfather ata rangi wameshindwa kupaka kijana uko Nairobi ata kumsaidia kununua rangi na white cement umeshindwa ww mwenyewe unakua ume rent dormitorythis is my grandfathers house in the village about 300km from Nairobi same with kadodas houses
Kwani unataka ikae tausi...we huoni rangi hapo enyewe nyinyi wagonjwaNaendelea kupata majibu kwa nn wanaume wa Kenya mnapigwa na wanawake , mwanaume badala ujivunie nyumba yako uliyo plan mwenyewe apo Nairobi na kujenga kulingana na ndoto zako una leta ya babu yako ,poor grandfather ata rangi wameshindwa kupaka kijana uko Nairobi ata kumsaidia kununua rangi na white cement umeshindwa ww mwenyewe unakua ume rent dormitory
Maisha ya Kenya ya kimaskini sana ila pambaneni mtafanikia kama wa Tanzania
"Nyani haoni kundule" umeona NANYUMBU PRIMARY SCHOOL, Mtwara? Tanzania, hapa hamna point! kuna shule nyingi za hali duni zaidi ya Kenya! nice debate though.Hii ndio nchi wanasema ina uchumi mkubwa.....
Tukisema ukweli tunaonekana wabaya.....
Walioshika uchumi wa kenya wapo ulaya wanakula kuku kwa mrija waliobakia sasa kwangu pakavu tia mchuzi😀😀😀😀😀😀😀
"Nyani haoni kundule" umeona NANYUMBU PRIMARY SCHOOL, Mtwara? Tanzania, hapa hamna point! kuna shule nyingi za hali duni zaidi ya Kenya! nice debate though.
there sense of style is mostly old school! kama Mombasa old town, na ancient white painted buildings., Kenya is modelled after the west, its now ndio we are starting to blend with our culture., TD Jakes said; "...Nairobi has a western look.." when narrating his trip to Kenya to his people., a neutral person, not kenyan! find the clip.,Kwani unataka ikae tausi...we huoni rangi hapo enyewe nyinyi wagonjwa
Looking nice! "Kisumu" ya Tanzania, kwa vile iko kando ya lake victoria. pale siku moja nitafika.,