Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

6% of 696km^2 against 92% of 1590.05km^2...
i give up
All slums are 6% serious?????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hebu tuone ni kweli tuangalie area ya city center na slums area in nairobi ambayo ni 696 kmsq

Hvi tukiwa hatuna macho hatuwez kupapasa tukajua kwa mahesabu yangu ya haraka haraka city center haivuki hata 100km sq so 596 kmsq is slum.......πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Jangwani msee.. mbona unapaniki
Hvi we jangwani unaijua ilivo????
Basi nakupa taarifa hio picha sio dar na hakuna sehemu ya dar iko hvoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kwenye ukweli sema ukweli tu
 
Hvi we jangwani unaijua ilivo????
Basi nakupa taarifa hio picha sio dar na hakuna sehemu ya dar iko hvoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kwenye ukweli sema ukweli tu
mbona unalia πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
punguza povu. hapo ni uswazi Jangwani... ukubali ukatae.... hata ubonde kichwa kwenye sakafu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
idiot ni wewe na wabongolala wote pretending you know more about Kenya than the native Kenyans.
Muda niliokaa Kenya haunipi haki ya kusema naijua sana Kenya but the time i've lived with Kenyans naweza kujipa haki ya kusema nawajua wakenya with their personalities, Native Kenyan Lewis, wewe ni wa kabila gani?
 

Lewis254 nakuhitaji hapa
 
Unaniuliza mm au nikuulize wewe?????
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwa kifupi ni janga la taifa zima......
ok lemme answer you. its 3% of 45million. that is 1.5m.
happy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…