Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa iyo kibera pekee inawatu zaidi ya jiji la Arusha kama sio ujinga ni nnalafu uyo anaesema apo ni nje ya jiji ni nani wkt CBD unaiona kwa mbali?
Nataka muendelee kuongea mbona mmenyamaza[emoji23][emoji23]
 
so Arusha has less than 200k people. ...ok.kibera is 6.6 km from the city centre in sort of a valley.
 
Nachoweza kusema kwa sasa nikuwa hii battle Dar es salaam tumeshinda. Nikutokana watu wa Nairobi wemeshimdwa kukiri kuwa Kibera wanaijua naipo hoi. Evidence zote zipo mtandaoni. Pole sana Nairobi kwa sasa ni Nairobi VS Kigali while Dar es salaam VS Johannesburg
 
lol.....I would be interested to see how it goes. But why is Tanzania a Least developed country anyway?......si watu wa south Africa watawazima na hiyo map ya LDC before muanze hata kupimana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…