Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wewe endelea tu kutoa povu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

you can find better houses than these in Narok, Kisii, Embu,,, sio City
 
Hizo nyumba unazo ona zina choo na bafu ndani sio slums.
yeah.. sio kwamba sijui nyumba za kiswahili. dream houses gani wakati nyumba ina room tisa. kila room kunakaa extended family kutoka babu mpaka vitukuu... alafu choo ni kimoja muna share familia zote hizo
 
Mungu tuepushe mbali nahili janga. Hii sio slum Bali gereza Dogo. Kuna tangazo la Colgate Kenya wakigawa dawa ya mswaki na miswaki ya Colgate kwenye familia zinazo tumia vijiti kupiga mswaki hapo Nairobi. Lol! Ooooh Ooooh my!
 

Attachments

  • images-25.jpeg
    11.5 KB · Views: 55
Tuache utani pembeni, you guys hampo serious bhana, this is bullshit
 
Hamna kitu hapo. Tell us how many kilometers and flyovers ngapi najua road toll its just a dream to you. Hivyo tu viwili usilopoke
 
You are on your own league. All the way to the cbdView attachment 526407 View attachment 526408

I wish there was a picture from behind that building, to reveal the mess. Next time in Dar ill get a good camera to expose these awesomeness.
tatizo hayo maeneo hauyajui .....hapo chini unapozania kupo ovyo ni kumepangika na wananchi wanaoishi hayo maeneo wabajiweza..sana
 
kutokana na uhaba wa ardhi,wakazi wengi wa nairobi hawamiliki nyumba zao binafsi.
asilimia kubwa ni wapangaji walio-rent nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo cha wakenya toka kabila la Kikuyu.

that being said,i present to you a sample of random photos showing private houses owned by common citizens of dar es salaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…