Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,143
- 107,704
Jpm anasema nimewacheck,nikawaangalia nikasema hiiiiiiiih
[emoji3][emoji3][emoji3]Jpm anasema nimewacheck,nikawaangalia nikasema hiiiiiiiih
wazichape tu maana kama heshima hamna ndo kilichobaki! watajifunza ustaarab hapo baadae...uhuru aeke kalamu chini nchi imemshinda πππ
Hahahaha hii ni hospital au kiwanda cha kuchakata ngozi?, πππ
Poopo! popo! popo! poo! poo!,hawatakupa jibu wanaona aibu.... Kwa ninavyomjua mzee baba walahi anaweza akawakazia
Ninavyoiona hii Magu anaweza kuwafungia vioo mpaka serikali nyingine ya Kenya itakapo kuja, 2023 huko.
hospital zao unaeza sema ni mazizi ya ngombe maana hawana utu kabisa πHahahaha hii ni hospital au kiwanda cha kuchakata ngozi?, πππ
[emoji3][emoji3][emoji3]Jpm anasema nimewacheck,nikawaangalia nikasema hiiiiiiiih