Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,224
- 107,840
si kazi yangu punga...Nionyeshe wakati wa kibaki kulijengwa nini, acha kulia lia hapa bana
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Aise,kweli hii nchi inajengwa, natamani hii stendi ikamilike mapema maana kuna usumbufu Sana hasa kwa watu wanaotokea Mikoa ya Tabora,Dar.yaani unashukia Nyegezi unahangaika na vipanya,mpaka Buzuruga ndio unapanda Basi la Musoma. Yaani hii itasaidia Sana!iko jijini mwanza itakua ni moja ya stendi kubwa sana na ya kisasa sana tanzania na africa mashariki
itakua na bus terminal
itakua na lorry parking stage
itakua na hostel kwa ajili ya lorry drivers
itakua na cargo terminal
itakua na shopping building
itakua na garage building
Yeah,tukipata Rasi Kama Magu,tutapaa Sana!Na haya mafuta ya Eyasi Wembere yakishagunduliwa ndo itakuwa duuhh hatari mzee.
mmegundua kuwa yule VP wao sijui DP saiz haamini ishu ya corona?.. yeye hana habari kbsa na corona, anakutana na watu kanisan na mtaani kama kawaida
Hii kitu inanipa mzuka Sana,alafu ya Vingunguti niliona Jana wameanza kufanya 'lnstallation' ya mitambo!
uheheheh nchi imekufa hali ya kua munaiona leo unasema biashara tena 😂😂😂
hutaki au 😂😂😂👇👇👇Umeleta ya nairobi..enhee wacha nikuchape na nairobi kwanza alafu narok badae....
Nairobi kulikua na mgogoro katika bajeti yao mpka kufanya speaker kujiuzulu.
Enhee!!narok hyo
Ukipata ishu na salary hapo nitag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
https://www.google.com/url?sa=t&sou...BMAB6BAgHEAY&usg=AOvVaw2X8KvlzvT-1neKgqGJrwPS
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
nimekutag again😂😂😂👇👇👇Umeleta ya nairobi..enhee wacha nikuchape na nairobi kwanza alafu narok badae....
Nairobi kulikua na mgogoro katika bajeti yao mpka kufanya speaker kujiuzulu.
Enhee!!narok hyo
Ukipata ishu na salary hapo nitag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
https://www.google.com/url?sa=t&sou...BMAB6BAgHEAY&usg=AOvVaw2X8KvlzvT-1neKgqGJrwPS
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
and again 😂😂😂👇👇👇Umeleta ya nairobi..enhee wacha nikuchape na nairobi kwanza alafu narok badae....
Nairobi kulikua na mgogoro katika bajeti yao mpka kufanya speaker kujiuzulu.
Enhee!!narok hyo
Ukipata ishu na salary hapo nitag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
https://www.google.com/url?sa=t&sou...BMAB6BAgHEAY&usg=AOvVaw2X8KvlzvT-1neKgqGJrwPS
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
again 😂😂😂👇👇👇Umeleta ya nairobi..enhee wacha nikuchape na nairobi kwanza alafu narok badae....

kwann ukasirike😂😂😂👇👇👇Umeleta ya nairobi..enhee wacha nikuchape na nairobi kwanza alafu narok badae....
Nairobi kulikua na mgogoro katika bajeti yao mpka kufanya speaker kujiuzulu.
Enhee!!narok hyo
Ukipata ishu na salary hapo nitag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
https://www.google.com/url?sa=t&sou...BMAB6BAgHEAY&usg=AOvVaw2X8KvlzvT-1neKgqGJrwPS
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]
kumbe hiz i ndege zao ni za Mjerumani.
Natamani Tanesco wangekuwa na mtu wao wa habari kama kwenye reli.
Kweli kabisa kaka.Natamani Tanesco wangekuwa na mtu wao wa habari kama kwenye reli.
Angalia miradi mikubwa kama ya REA, Kinyerezi na huu wa JN HPP, yaani wameshindwa kuwapa ajira vijana kama watatu hivi watuwekee mambo youtube? Yaani hata kama hawataki basi wampe mchongo Millard Ayo apeleke vijana wake kule wawe wanatuhabarisha.Kweli kabisa kaka.