Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huku Al shabab huku Mungiki failed state!

Kama mungiki wameanzisha fujo hapo Githurai sio dalili njema kabisa...ngoja tuone mwisho wake lazima wana hidden agenda. Munguki ndio last card ya jamaa (mashati) kujitetea. Na kwa wajuvi wa biashara baina ya pande hizi mbili wanaweza kuelewa kwamba Githurai pako vipi...
 
Khe Ona Vilaza wa Kikenya
Mtu Ana google tu hata hajui nini Apost
Mwisho wasiku anajipachika Msumari matakoni mwake
Hiyo ni Dar au Nairobi!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…