Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

are you admitting that mlikuwa usingizini?
hatukua na maendeleo kwenye 90s lakini past 10 yrs tulikua moto up to date ni fire ndio maana unaona tanzania inawapeleka mbiombio hamuna rahaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
zanzibar inajengwa vzr sana tena wanajenga hoteli za kufukia bahari ambazo hakuna ukanda wa east africaπŸ˜€πŸ˜€

nimeona GDP yao ya 2014 was 860 million dollars. ....Hahaha. Hiyo GDP hata haifikii safaricom
 
nimeona GDP yao ya 2014 was 860 million dollars. ....Hahaha. Hiyo GDP hata haifikii safaricom
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wako watu million 1 zenji tatizo ni uvivu na uswahili uliotukuka
 
is Zanzibar's million dollar GDP aggregated to Tanganyika's?just asking
 
Really shame someone talking like he is from a developed nation. Nairobi is ahead of Dar 3 years maximum. Some aspects mnatembelea kichwa bora hata Dar.
Haha hivi ndio watu hukubali tu polepole. Kesho utaona vingine useme nairobiipo mbele max 5 years alafu ivo ivo hadi unakubali reality. Kudos
 
lamu ndio nini hio anzisha thread alafu tuone utatokea wapiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Zanzibar ndio nini... Utajua hujui
Hii ndio lamu..
Hebu tuonyeshe hio Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…