Sawa mkuu ila nataka kuja hapo Naiii.
Kwasababu inatokea USA na France sio sababu ya kusema Kenya kuna amani. Ukweli ni kwamba Kenya ni miongoni mwa nchi zisizokua na amani, hivyo mti yeyote anayeamua kwenda Kenya ni muhimu atambue kwamba maisha yake yapo hatarini.Dusit D2 is exceptional case, happens in serious countries too, pia France na London kuna watu walikua wanakula bata kwa clubs bahati mbaya wakapatwa na same janga, haimaanishi hakuna raha.,[emoji23][emoji23][emoji23] kifo ikifika basi itakua imefika haijalishi uko wapi.
Kenya huwa inakutesa roho sana[emoji23][emoji23][emoji23] huwezi ona mazuri ama kufikiria mema kuihusu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa vigezo hivi nenda Uganda, Kenya ni ukabila na ubaguzi, hawana time na mtu kama sio kabila lake, na Usalama ni zero.Bata la kiume kaka😀(chakula kizuri,kinywaji,maua ya hapa na pale)pia nikutane na watu wenye vibe....sipendi watu wanaojibagua bagua na kujiskia.Mazingira safi ila usalama wangu ni namba moja.
Kwa vigezo hivi nenda Uganda, Kenya ni ukabila na ubaguzi, hawana time na mtu kama sio kabila lake, na Usalama ni zero.
Haku hatuwaamini wakenya kwasababu ni majambazi na magaidi, ndio sababu kila mkenya lazima tumfuatilie kwa karibu sana. Kenya usalama ni zero, sio nchi nzuri .Wewe umekuja ukashuhudia hayo unayoyasema? ama ni wivu na kinyongo inakusumbua?[emoji23][emoji23][emoji23], pole sana, tafuta hela masikini wa fikra na wa hali. Here kila mtu ana mind biashara yake, no one cares where u come from, unlike in Tanzania, majirani wanakuitia polisi especially kama umetokea Kenya, watu hawana kazi, wanakuchunguza chunguza kile unafanya, haukuli bata kwa amani[emoji23][emoji23], hapa Kenya bora usisumbue mtu na wewe hautosumbuliwa, hizi ni akili zako potovu zime zeeka na kuchoka na maisha. Kenyan politics play is not Kenya's daily living., wewe ni mpumbavu kweli.,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu kuna kunguni wanakuja hapa wanaanza comparison zao za kipuuzi eti oohh bora fulani kuliko Magu, ukiwaambia waseme huo ubora waliokuwa nao hao wanaowataja wanabaki kutoa matusi, kuna mwingine tupo naye humu kwenye battle yn yy kila siku ni kulalamika tu barabara fulani bado (wkt hyo barabara ilikuwepo tng enzi za huyo anayemuona alikuwa bora) cjui kitu fulani bado yn anataka Magu amjengee nyumba ndiyo akubali anafanya kazi.dah nikikumbuka haya madini wakenya na india ndo walikuwa wauzaji wakubwa napata hasira sana [emoji21]
tukiachana na mambo ya kisiasa. kweny ishu ya haya madini uncle Magu kafanya jambo la maana sana.
Jibu mujarabu [emoji3][emoji3]kwan mlipokua munajenga reli ikipita nairobi national park kulikua hakuna simba ??[emoji23][emoji23]
alaf bahat nzuri
phase one iko 80% 300km
phasr two iko 38% 442km
na zote zinajengwa kwa speed ile ile [emoji23][emoji23] the modern electric train in africa keep in ur mind
Ndiyo itachukua nafasi ya HAPA KAZI TU au??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji106]
View attachment 1488438
Hii itapaisha sn umaarufu wa Tanzanite na Tz mining industry kwa ujumla.
[emoji3][emoji3][emoji3] hapo lazima umtake ubaya Magu, kwnz saivi ameanza ku reserve madini pale BoT nadhani mda c mrefu uchumi utakuwa safi sana.Kuliko ukamatwe ukitorosha madini afadhali ukamatwe na madawa ya kulevya.
Masoko yote hayo ya madini halafu ukamatwe unatorosha![emoji3][emoji3][emoji3] hapo lazima umtake ubaya Magu, kwnz saivi ameanza ku reserve madini pale BoT nadhani mda c mrefu uchumi utakuwa safi sana.
Huyu Mdada anapatikana Nairobi au Mombasa slum namba ngapiFacts hz hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Vera Sidika Afunguka 'Wanaume wa Kenya Hawajui Mapenzi, Watanzania Wananikuna Mpaka Kunako"View attachment 1488296
Huwezi kuingia mining site bila kuwa na national ID
Hawawez kukosa hawa jamaa,nenda katumie izo helaBata la kiume kaka😀(chakula kizuri,kinywaji,maua ya hapa na pale)pia nikutane na watu wenye vibe....sipendi watu wanaojibagua bagua na kujiskia.Mazingira safi ila usalama wangu ni namba moja.
Kabisa ...iyo mbera sio ya kitotoHii itapaisha sn umaarufu wa Tanzanite na Tz mining industry kwa ujumla.
Hapa kwenye mbera umeniacha mkuuKabisa ...iyo mbera sio ya kitoto